Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester all of a sudden depends on a bunch of NIGGAZ from Afrika!!
Still mnawajua waafrika, asili haipotei, sijaona timu ya kuchukua ndoo ya EPL hapo! Ni kama ufaransa kutegemea 'waafrika' wao ktk timu ya taifa wachukue ndoo ya dunia.
Pumzi inakata vere suun!!
NOTE: Povu linaruhusiwa!!
Pole sana . Agiza maji ya uhai nitalipa utulize wivu
 
rashford naona kama anakuwa overated sana..martial ni mtulivu sana anapopata chansi..so ni best kuliko rashford..so far amecheza dakika hata 30 hazifiki mechi mbili ila kafanya kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
Rashford anawachosha mabeki Martial anakuja kuwamalizia. Mouurinho anamchezo wa kumchosha ng'ombe halafu ndio anamchinja kiulainiii.
 
5c56e01c132e155fe856b428566601fc.jpg
Broo unakaba mpaka kwenye kushangilia???

Sent from myself
 
Back
Top Bottom