Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dahh wakuu

mi sielew kwa nn leo tupo slow hivi
1. mwangalie Rashford aisee

2. Pogba

3. Blind

4. Mik

5. Mata

dahhh kiukweli leo ni kama vile wamekula mbaazi na ugali wa uwele...hapa kibanda umiza nlipo watu presha juu juu aisee....Mou do something for sure

Sent using Jamii Forums mobile app

Swansea wamepaki bus, ndio maana mipira mingi tunapitisha juu. Hauwezi kucheza mpira wa speed wakati unaecheza nae kabaki nyuma.
 
Swansea wamepaki bus, ndio maana mipira mingi tunapitisha juu. Hauwezi kucheza mpira wa speed wakati unaecheza nae kabaki nyuma.
Mou naona ameanza ule mpango wake alioutumia mechi iliyopita, Man U wamepaki basi katikati ya uwanja pale kwenye circle ya center ndio Jones kasimama, naona zile nne zinanukia tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom