oooh sawa!Japo ukirudi nyuma kwenye comments kuna mkuu amesema ilikua mechi ya maveterani
Naona humu ndani kimya kimetawala wachambuzi wanasubiri data kutoka nje kisha watiririkeoooh sawa!
Nakumbuka miaka iyo mpaka mou anaondoka fergie alimfunga mechi moja tu tena moja bilahahahahahaaaa mimi nilikuwa nawaogopa chelsea kwenye champions league pindi ule muziki wa we are the champions unapoimbwa. unakuta mstarini amesimama essien, ballack, obi, lampard anajiramba ulimi, drogba, makelele halafu cha kuchekesha timu pinzani inaundwa na wachezaji wenye miili dhaifu kama park, ronaldo, brown.
heshima kwake jose mourinho kwa kutengeneza timu ngumu kama chelsea ya 2005
Matic ni defensive midfielder(holding midfielder )while Herrera,Fellaini,Pogba ni central midfielder,msimu uliopita Mourinho alilazimika kumchezesha Herrera kama DM na alifanya kazi nzuri sana baada ya kusajiliwa Matic Herrera anarudi kucheza kama CM au itategemea kama Mourinho akiamua kutumia viungo 3 kama game against Real Madrid.Kuwa na wachezaji wengi kunaisaidia timu kuwa na option ya kucheza mifumo tofauti na timu ikipata majeruhi pengo halionekani Umeona Zidane anavyowafanyia rotation Mondric-Kroos-Casemiro-Kovacic-Isco hawa ndio wamekuwa backbone ya timuWakuu kuna kitu nakiona hapa..sijui kwa mitazamo yenu ila mimi naona MATIC ni THREAT kwa HERRERA.. kwa sababu anaperform vizur sana na amefit kumfanya pogba afunguke kitu ambacho Ander Herrera alishindwa..alafu pale katikati hakuna wakumpiga benchi POGBA ss naona MATIC,HERRERA na FELLAIN wanagombea namba moja na winner ni definitely MATIC. Au mnaonaje wakuu!! GGMU!! GGMU!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba ndio mchezaji anayeanzisha mashambulizi ya United na ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira kuliko Herrera weakness kubwa ya Pogba ni kuchelewa kufanya decision na poor finishing.Kama ataimprove hizo weakness atakuwa among the best CM in the world last season United ili-strugle sana kutengeneza mashambulizi game ambazo Pogba hakuchezaWadau wenzangu wa manchester united, naombeni kufafanuliwa baadhi ya mambo kuhusu kiungo chetu.
1. Kwanini sasa hivi Herrera anashushwa thamani sana linapokuja suala la uchaguzi wa timu ya kuanza mechi? Nakumbuka mwaka jana amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu kwenye kikosi kwa performance yake maridadi kabisa.
2. Naomba nijuzwe kama timu yetu imejengwa kumzunguka pogba. Sababu tunaingia msimu wa pili lakini kila mtu bado analia na performance ya pogba kutokuridhisha kama mchezaji ghali wa klabu. Lakini kuna miongoni mwetu bado tunaona pogba atafanya vema ikiwa atapata msaidizi sahihi kwenye eneo la kiungo, binafsi naona hii dhana sio kweli sababu alipokuwa anapangwa #10 bado hakuweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.
3. Kwanini tusijaribu kuongelea combo kati ya matic na Herrera tuone kama itakuwa nafuu zaidi ya matic na pogba. Hii ni vema zaidi kama timu itapendelea kujenga mashambulizi ya haraka haraka wakati huo ikimiliki mpira kwa pasi nyingi. Kama tunavyojua,pogba ni mchezaji wa jukwaa zaidi akitafuta kuprove watu wrong,anachelesha moves za mabao ingawa ni mzuri kwenye long balls.
Bado nina imani kubwa na Herrera kwenye kiungo chetu ingawa timu kwanza na mafanikio ya mchezaji baadaye. Asanteni wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
usijali leo ndiyo utawaona wote, mara nyingi uku kuna kuwa busy kukiwa na mechi.Naona humu ndani kimya kimetawala wachambuzi wanasubiri data kutoka nje kisha watiririke
Count downBado masaa sita.
Game yetu saa ngapi leo jaman.?
mhusika amesema ni clip tu ameitoa mahali, ila hajajua mechi ilikuwa kati ya nani na nani.
Leo man utd hamtoboi huu ni utabiri wangu na lazima uheshimiwe.