Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu kuna kitu nakiona hapa..sijui kwa mitazamo yenu ila mimi naona MATIC ni THREAT kwa HERRERA.. kwa sababu anaperform vizur sana na amefit kumfanya pogba afunguke kitu ambacho Ander Herrera alishindwa..alafu pale katikati hakuna wakumpiga benchi POGBA ss naona MATIC,HERRERA na FELLAIN wanagombea namba moja na winner ni definitely MATIC. Au mnaonaje wakuu!! GGMU!! GGMU!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi navoona hakuna haja ya kutafuta combination kati ya matic,pogba,na herrera,combination nzuri tumeshaiona kwa matic na pogba..herrera mi naona anauwezo mkubwa wa kumark ila uwezo wa kudrible mipira kuelekea mbele fastafasta kama anavofanya matic huo uwezo bado hatujauona kwake

Ila kuna game nyingine lazima herrera acheze hasa wapinzani wenye kushambulia kwa kasi.

Na ifahamike kwamba ili viungo wawe watatu pale kati kule mbele lazima tena mtu mmoja apungue,na hii naona itapunguza sana mashambulizi..

Pogba +Matic thus the way to go ili tuwe on fire kimashambulizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna kitu nakiona hapa..sijui kwa mitazamo yenu ila mimi naona MATIC ni THREAT kwa HERRERA.. kwa sababu anaperform vizur sana na amefit kumfanya pogba afunguke kitu ambacho Ander Herrera alishindwa..alafu pale katikati hakuna wakumpiga benchi POGBA ss naona MATIC,HERRERA na FELLAIN wanagombea namba moja na winner ni definitely MATIC. Au mnaonaje wakuu!! GGMU!! GGMU!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu siyo apangwe nani
Muhimu kwetu ni ushindi tu
Pogba,Herrera,Fellaini & Matic wote nawakubali
Matokeo mazuri ya timu ndiyo furaha yetu mashabiki hata kama Lingard atapangwa !!!
 
Wakuu kuna kitu nakiona hapa..sijui kwa mitazamo yenu ila mimi naona MATIC ni THREAT kwa HERRERA.. kwa sababu anaperform vizur sana na amefit kumfanya pogba afunguke kitu ambacho Ander Herrera alishindwa..alafu pale katikati hakuna wakumpiga benchi POGBA ss naona MATIC,HERRERA na FELLAIN wanagombea namba moja na winner ni definitely MATIC. Au mnaonaje wakuu!! GGMU!! GGMU!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau wenzangu wa manchester united, naombeni kufafanuliwa baadhi ya mambo kuhusu kiungo chetu.
1. Kwanini sasa hivi Herrera anashushwa thamani sana linapokuja suala la uchaguzi wa timu ya kuanza mechi? Nakumbuka mwaka jana amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu kwenye kikosi kwa performance yake maridadi kabisa.
2. Naomba nijuzwe kama timu yetu imejengwa kumzunguka pogba. Sababu tunaingia msimu wa pili lakini kila mtu bado analia na performance ya pogba kutokuridhisha kama mchezaji ghali wa klabu. Lakini kuna miongoni mwetu bado tunaona pogba atafanya vema ikiwa atapata msaidizi sahihi kwenye eneo la kiungo, binafsi naona hii dhana sio kweli sababu alipokuwa anapangwa #10 bado hakuweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.
3. Kwanini tusijaribu kuongelea combo kati ya matic na Herrera tuone kama itakuwa nafuu zaidi ya matic na pogba. Hii ni vema zaidi kama timu itapendelea kujenga mashambulizi ya haraka haraka wakati huo ikimiliki mpira kwa pasi nyingi. Kama tunavyojua,pogba ni mchezaji wa jukwaa zaidi akitafuta kuprove watu wrong,anachelesha moves za mabao ingawa ni mzuri kwenye long balls.
Bado nina imani kubwa na Herrera kwenye kiungo chetu ingawa timu kwanza na mafanikio ya mchezaji baadaye. Asanteni wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matic,Pogba, Herrera, Pereira, Fellaini,Hawa wote watacheza kutokana na mwalimu kaamua aaproach vipi mchezo,kuna mechi rahisi viungo wawil tu wanawatosha na kuna baadh ya mechi lazima tuchezeshe viungo wa tatu. Na pia kitu kingine inategemea ni mfumo gani Mou atatumia kulingana na mechi husika. Na kama tunakumbuka pre season mou alisema wanaufanyia mazoezi sana mfumo wa 3-5-2.
 
Key points from Jose Mourinho's press conference

•Luke Shaw and Ashley Young will play for the reserves against Swansea on Monday

•Jose Mourinho happy to go on without fourth signing

•He’s not getting carried away with West Ham win

•Mourinho backing plans to close the window earlier
 
Wakuu kuna kitu nakiona hapa..sijui kwa mitazamo yenu ila mimi naona MATIC ni THREAT kwa HERRERA.. kwa sababu anaperform vizur sana na amefit kumfanya pogba afunguke kitu ambacho Ander Herrera alishindwa..alafu pale katikati hakuna wakumpiga benchi POGBA ss naona MATIC,HERRERA na FELLAIN wanagombea namba moja na winner ni definitely MATIC. Au mnaonaje wakuu!! GGMU!! GGMU!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakubaliana na wewe lakini Herrera atapata nafasi ya kucheza kwasababu tuko kwenye michuano mingi na kuna mechi zitamuitaji kucheza.
Na kinachombeba Matic ni namba 6 halisi na anajua kucheza eneo lake ipasavyo tofauti na Herrera.
727e743bb34455731b694fc9e025f40b.jpg
 
Wadau wenzangu wa manchester united, naombeni kufafanuliwa baadhi ya mambo kuhusu kiungo chetu.
1. Kwanini sasa hivi Herrera anashushwa thamani sana linapokuja suala la uchaguzi wa timu ya kuanza mechi? Nakumbuka mwaka jana amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu kwenye kikosi kwa performance yake maridadi kabisa.
2. Naomba nijuzwe kama timu yetu imejengwa kumzunguka pogba. Sababu tunaingia msimu wa pili lakini kila mtu bado analia na performance ya pogba kutokuridhisha kama mchezaji ghali wa klabu. Lakini kuna miongoni mwetu bado tunaona pogba atafanya vema ikiwa atapata msaidizi sahihi kwenye eneo la kiungo, binafsi naona hii dhana sio kweli sababu alipokuwa anapangwa #10 bado hakuweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.
3. Kwanini tusijaribu kuongelea combo kati ya matic na Herrera tuone kama itakuwa nafuu zaidi ya matic na pogba. Hii ni vema zaidi kama timu itapendelea kujenga mashambulizi ya haraka haraka wakati huo ikimiliki mpira kwa pasi nyingi. Kama tunavyojua,pogba ni mchezaji wa jukwaa zaidi akitafuta kuprove watu wrong,anachelesha moves za mabao ingawa ni mzuri kwenye long balls.
Bado nina imani kubwa na Herrera kwenye kiungo chetu ingawa timu kwanza na mafanikio ya mchezaji baadaye. Asanteni wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sidhani kama kuna mtu kamshushq thamani Herrera, wote watacheza kuna mechi zaidi ya 50 msimu huu. Tuwe wavumilivu tu.
 
Matic,Pogba, Herrera, Pereira, Fellaini,Hawa wote watacheza kutokana na mwalimu kaamua aaproach vipi mchezo,kuna mechi rahisi viungo wawil tu wanawatosha na kuna baadh ya mechi lazima tuchezeshe viungo wa tatu. Na pia kitu kingine inategemea ni mfumo gani Mou atatumia kulingana na mechi husika. Na kama tunakumbuka pre season mou alisema wanaufanyia mazoezi sana mfumo wa 3-5-2.

Sidhani kama atautumia tena kwa kile tulichofanywa na Madrid kipindi cha kwanza. Tulikua kama watoto na alitambua makosa, akabadili mfumo ndio tukanza kucheza soka letu.
 
Wadau wenzangu wa manchester united, naombeni kufafanuliwa baadhi ya mambo kuhusu kiungo chetu.
1. Kwanini sasa hivi Herrera anashushwa thamani sana linapokuja suala la uchaguzi wa timu ya kuanza mechi? Nakumbuka mwaka jana amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu kwenye kikosi kwa performance yake maridadi kabisa.
2. Naomba nijuzwe kama timu yetu imejengwa kumzunguka pogba. Sababu tunaingia msimu wa pili lakini kila mtu bado analia na performance ya pogba kutokuridhisha kama mchezaji ghali wa klabu. Lakini kuna miongoni mwetu bado tunaona pogba atafanya vema ikiwa atapata msaidizi sahihi kwenye eneo la kiungo, binafsi naona hii dhana sio kweli sababu alipokuwa anapangwa #10 bado hakuweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.
3. Kwanini tusijaribu kuongelea combo kati ya matic na Herrera tuone kama itakuwa nafuu zaidi ya matic na pogba. Hii ni vema zaidi kama timu itapendelea kujenga mashambulizi ya haraka haraka wakati huo ikimiliki mpira kwa pasi nyingi. Kama tunavyojua,pogba ni mchezaji wa jukwaa zaidi akitafuta kuprove watu wrong,anachelesha moves za mabao ingawa ni mzuri kwenye long balls.
Bado nina imani kubwa na Herrera kwenye kiungo chetu ingawa timu kwanza na mafanikio ya mchezaji baadaye. Asanteni wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajashushwa thamani mkuu..nfo kwanza tumecheza mechi moja ya premier league.. Me nnachokiona ni kwamba matic ananafasi kubwa ya kucheza kuliko yeye sababu ya style yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama atautumia tena kwa kile tulichofanywa na Madrid kipindi cha kwanza. Tulikua kama watoto na alitambua makosa, akabadili mfumo ndio tukanza kucheza soka letu.
Kuitumia ataitumia tu akipata right players,ile setback ya madrid ni sehemu ya kujifunza,koz tulijaribu our formation dhidi ya timu bora ulaya,Madrid ya sasa inauwezo wa kuterrorize any formation ya mpinzani. Ila ngoja tuone naimani na kocha wangu atumie formation yoyote atayoona inamfaa.
 
Nakubaliana na wewe lakini Herrera atapata nafasi ya kucheza kwasababu tuko kwenye michuano mingi na kuna mechi zitamuitaji kucheza.
Na kinachombeba Matic ni namba 6 halisi na anajua kucheza eneo lake ipasavyo tofauti na Herrera.
727e743bb34455731b694fc9e025f40b.jpg
Asante mkuu kisu cha ngariba,nataka kujua kama muunganiko kati ya herrera na matic hautakuwa na nafasi yakufanya vizuri. Sababu rotation ya kikosi naona kama yeye haimhusu kulingana na maoni yetu mashabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom