Hahahaha jiwe la gizaniTulivofungwa 2-1 na madrid kuna watu waliimba ngonjera utadhani tumefungwa 3-2 na burnley tena nyumbani
Yes am cunt, next question?
Duh! hata vitabu vya dini huwa hawataji watu bali hali na matukio jumlisha muonekanoTulivofungwa 2-1 na madrid kuna watu waliimba ngonjera utadhani tumefungwa 3-2 na burnley tena nyumbani
Yes am cunt, next question?
Bila kumsahau na isco!nae jana hakuwepomadrid tulipambana sana kumbe,ona barcelona alivopigishwa deki kama mtoto na tena casemiro na ronaldo hawakuwepo..ggmu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha kiki ya ndege sio pikipiki tena
hahahaa waliona burnley ni timu nyepesi kwao kumbe aibu inawanyemelea.Tulivofungwa 2-1 na madrid kuna watu waliimba ngonjera utadhani tumefungwa 3-2 na burnley tena nyumbani
Yes am cunt, next question?
Kwakwel sijui maana ni clip fupi ndo imeoneshwahahahahaa Mou ni chizi. hivi alipewa card ama ilikuwaje???
duh aya, hata hvyo amenifurahisha sana.Kwakwel sijui maana ni clip fupi ndo imeoneshwa
Kocha wetu ni shida
Itakuwa ni maangamiziNi hatari tupu ikiwa hivi.
Big Fella ni First Plan B ya Mourihno.Namuona martial anapasha nje
Akiendelea kucheza hivi kwa kasi na kuanza kukaba basi sina wasiwasi na nafasi yake ndani ya Man United.Yeah lakini Martial ana impact sana aisee sijui kwann...hahahaa..goal na assist...Nna muadmire Martial kila wakat
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial akipewa regular chances tutamfurahia sana...hata juzi alivyofunga hakufurahia..naona bado hana furaha na mpira wake kitu ambacho ni risk kwa perfomanceAkiendelea kucheza hivi kwa kasi na kuanza kukaba basi sina wasiwasi na nafasi yake ndani ya Man United.
Tatizo kubwa la Martial kwa Mou ni Martial kutokujuwa kukaba na kupambana hasa uwanjani.
Ila Martial ni mchezaji mwenye kipaji,namuona akija kuwa mchezaji mkubwa sana duniani akiachana na matatizo yake nje ya uwanja, Mou anatakakiwa kukilinda na kukikuza hichi Kipaji.
Kwangu ni Rahisi kwa Martial kuja kuwa mchezaji Mkubwa duniani kuliko Rashford ingawa wote wana uwezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mabadiliko ya kiufundi kwa Mou now anaiona Man United ni timu ya pili nyuma ya Real Madrid duniani na anataka kupambana na o msimu huu.Timu inatakiwa kuwa na njaa ya kufunga muda wote sio kama msimu uliopita goli moja tu wanazubaa hadi linarudishwa