Awafanye tuu...Lukaku mpnz nakuomba usiwafanyie hivyo majirani wa buluziii.
Watajinyonga eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Not only star ...Kumbe ulikuwa unanikataa kwasababu ya huyu star
Kwahiyo ukaona unitose ndo umpende wa ughaibuni je utaweza kumpata?
Waingie tuMartial au lingard wanaweza kuingia
Baba na mwana haoMourino & Fellain like Magu & Bashite
Timefikiria kitu kimoja mkuuFellain na morinyo ni kama makonda na maghufuri