Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa wenye chuki na MUFC(maana timu nyingine hazina washabiki) wana vituko sana, MUFC ikishinda utasikia ooh mnashangilia kushinda mechi moja.. Mbona tukifungwa hamsemi ni mechi moja tu?
Kumbuka matokeo yoyote kwa man u ni khabari kwao aidha iwafurahishe au iwa huzunishe so wasikupe shida hao.
 
Siku ya mwisho ya usajili Diego Costa atakuja Manchester united .

Source : Mimi



Hii comment itunzwe

Sent From My Nokia Ya Tochi
Uyu jamaa namwelewaga kinoma anafunga magoli ya kihuni huni ukicheza nae vibaya huna chako tatizo wanasema nidhamu yake mbaya
ila as long as unaweza kuendana nae he's one hell of a sticker nakumbuka alipopewa message na conte kuwa he's needed no more eddo aliandika kwanini Wenger na mourinho wanahangaika na striker wakati Diego yupo? Ni mzuri na rekodi yake ni imetulia sana akifunga goli 18, ukawa na rashford akafunga 10, then mengine anamalizia lukaku basi unamaliza msimu na chupa ya whisky pembeni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well written
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…