Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
utatu mtakatifuKikosi cha leo![]()
aigooooo mbona wana timu kubwaWest Ham XI vs. Man Utd: Hart; Zabaleta, Reid, Ogbonna, Masuaku; Noble, Obiang; Fernandes, Arnautovic, Ayew; Hernandez.
Nipo mkuu nasubiri gemu, nipo mubashara kwenye screenfundi kumbe upo?
Herera kwa ujio wa matic hauwezi mwacha mtu salama anaweza omba kuondoka asee
Game plan ila namkubali sana Mata huwa haniangushi
Kabisa mkuu binafsi nataman Leo wagonga nyundo walale kwa bao tatuni kweli mara hii tunapaswa tumpige adui goli mbili za haraka baadae ahangaike kukomboa goli moja.
Ningependa kumuona martial akianza Leoutatu mtakatifu
mata+mkhitaryan+rashford (martial)
West Ham XI vs. Man Utd: Hart; Zabaleta, Reid, Ogbonna, Masuaku; Noble, Obiang; Fernandes, Arnautovic, Ayew; Hernandez.
Kisu umemskia commentator alivomzungumzia Pogba?
Hahaha wacha dogo aende tu hali ya pale ni ngumu sana hakuna cha maanaCoutinho naskia umechoka kupishana na vikombe
Herera kwa ujio wa matic hauwezi mwacha mtu salama anaweza omba kuondoka asee