Huyo Bakayoko umemuona mechi ngapi ?Matic n kiungo mzito ndiyo..... mfuatilie vizur mkuuu.. huwez compare mtu kama bakayoko na matic... yoko yupo faster sema nahis injuries sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumsajili mchezaji ndio kubadili utamaduni wa klabu ?Hayo ni masihara zaidi. Hivi mbona Mourinho anabadili utamaduni wa Man U wa 'hakuna mchezaji Mkubwa kuliko klabu'? Zlatan alikuwa hivyo kule PSG, sasa naona hilo linataka kuja kwetu. Klabu ishatangaza kumuacha lakini inampa option ya kusaini tena au kuondoka manake nini, kwa kipi alichonacho yule mzee? Kiukweli naamini Ibra wa Jana c Ibra wa Leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu we unajua mpira kweli?...lampard, Steve G,Paul Scholes pamoja na Konte Mwenyewe wanashangaa Chelsea kumuachia Matic. .....jamaa ana kila kitu, anakaba,anachezesha team,anafunga. ..
Mkuu tuongee pia na mapungufu sio mazur tu..Ndugu we unajua mpira kweli?...lampard, Steve G,Paul Scholes pamoja na Konte Mwenyewe wanashangaa Chelsea kumuachia Matic. .....jamaa ana kila kitu, anakaba,anachezesha team,anafunga. ..
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli ila mwakani atabadili kauli mwenyew*Commentator[emoji441]:* "Real Madrid look like a team and Manchester Utd look like a work in progress."
Ukubaliane na nani?
Bingwa LiverpoolKipindi cha kwanza ndicho kitaamua musimu huu kama Manutd itashinda ubingwa wa EPL