Man utd timu tunayo,Madrid sio timu ya mchezo.Uwepo wa modric,casemero na kroos bila kumsahau isco na ukilinganisha wamekaa mda mrefu pamoja,inakua ni vigumu kufungika.
Hiyo ni moja ya sababu imetamba Uefa kwa misimu 2 mfululizo.Juventus ilikua inasifika kwa beki imara lakini mwisho wa siku walipigwa 4.
Yote kwa yote Matic tumelamba dumeeee... Tukutane jpl ndio mtajua man tunatimu