Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wamefungwa domo zao na Lukaku maana saivi ni Lukaku vs Harmorata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mou gamble yake ya kumuanzisha lingard imetucost!tumekutana na timu ambayo tayari imeshatengenezwa zaidi ya miaka miwili,sisi ndo tunaanza kuunda timu!!all in all tuko vizuri na very promising!
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Ahahaaaah...
We will see..!
 
Huyu Rashford sasa AKUE na AACHE utoto wa kukosa kosa magoli ya ajabu. Kwenye PRE SEASON alionekana kuimprove, LAKINI leo kaonyesha tena yale madudu ya msimu uliopita.

Afanyie KAZI suala la MAAMUZI sahihi. Ni issue ya mentality tu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…