The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Matumaini ni kitu kizuri sanaLukaku hapati mipira ya kutosha...
Pogba naona bado amesahu anacheza nyuma zaidi... angalau kidogo baada ya kupata maelekezo ya Mou dk 15 za mwisho kipindi cha pili kapanda kidogo na timu imeamka.
Madrid bado hawajapata kashikashi za kutosha wakipelekeshwa dk 3 mfululizo kuna gori mbili pale naziona kabisaaa... Nadhani Lingard anapaswa kumpisha Rushford. Mik wa leo kalala sana si mbaya Martial akapiga jaramba kwaajili yake.
Bado ninamatumaini makubwa na ushindi
GGMU GGMU GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafunga lingine tena, credit utampa aliyepiga pasi ya mwisho mkuu!Credit nampa aliepiga shoot team butu sana haishambulii hata kidogo inatia hasira sisi wacatalonia tunaita dead football you have to attack and attack and attack hadi opponent apagawe akili zinavurugika
kaotea?Kama kawaida mzee wa kuotea Likuku
conte bna2-0[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]leo mbwembwe zote kwishnei
Niliwaambia team hamna
Mna team ya kucheza na hull city tu
ameurudisha lukanyavu ulikotoka