Be strong mkuuWakuu nashindwa nieleze nini but nashukuruni sana tena sana for the love!
Mkuu ipatama much respect to you brother, nimeona upendo wako kaka!
Ni kweli jana mida ya saa 11 jioni nadhani ni siku ambayo sitokaa niisahau kirahisi maishani mwangu, my little angel, my only son J uhai wake ulikatishwa na pikipiki, it's so painfull guys, ni hali ambayo hadi dakika hii still siamini kama kweli.
Shukrani kwa fans wote wa Manchester na soka kiujumla, kuna walionitumia meseji na kuna walionipigia simu kunifariji mungu awabariki.
My boy was six years old akisoma darasa la kwanza leo ndio tumempeleka kwenye nyumba yake ya milele so painful.
He was too young to die.
Kama ni usiri wee umejuaje? Acha habar za kutungaserge aurier toka psg wanasubilia kesi yake isomwe tarehe 7 alifarakana na polis mahakama ikaweka zuio la kuingia england na work permit ndo mana lipo ki usiri ila kila kitu tayar
Pole sana mkuu herrera.Wakuu nashindwa nieleze nini but nashukuruni sana tena sana for the love!
Mkuu ipatama much respect to you brother, nimeona upendo wako kaka!
Ni kweli jana mida ya saa 11 jioni nadhani ni siku ambayo sitokaa niisahau kirahisi maishani mwangu, my little angel, my only son J uhai wake ulikatishwa na pikipiki, it's so painfull guys, ni hali ambayo hadi dakika hii still siamini kama kweli.
Shukrani kwa fans wote wa Manchester na soka kiujumla, kuna walionitumia meseji na kuna walionipigia simu kunifariji mungu awabariki.
My boy was six years old akisoma darasa la kwanza leo ndio tumempeleka kwenye nyumba yake ya milele so painful.
He was too young to die.
Wakuu nashindwa nieleze nini but nashukuruni sana tena sana for the love!
Mkuu ipatama much respect to you brother, nimeona upendo wako kaka!
Ni kweli jana mida ya saa 11 jioni nadhani ni siku ambayo sitokaa niisahau kirahisi maishani mwangu, my little angel, my only son J uhai wake ulikatishwa na pikipiki, it's so painfull guys, ni hali ambayo hadi dakika hii still siamini kama kweli.
Shukrani kwa fans wote wa Manchester na soka kiujumla, kuna walionitumia meseji na kuna walionipigia simu kunifariji mungu awabariki.
My boy was six years old akisoma darasa la kwanza leo ndio tumempeleka kwenye nyumba yake ya milele so painful.
He was too young to die.
21:45hivi game yetu ya leo vs sampdoria itachezwa saa ngapi kwa masaa ya kwetu bongo na tunaweza kuitazama mubashara kupitia chanel zipi kwa hapa bongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!mbona ameshakwenda paris kumalizana na psg?Kuna tetesi Neymar anakuja United.
Ndo atavaa jezi namba 7.
Martial anenda kwa mkopo au???Dili la Perisic litakamilika soon, as it is reported that Martial is going other way.
Sent using Jamii Forums mobile app
ok, ila vipi litaoneshwa ktk chanel zip hapa bongo na vp mutv ya kwenye king'amuzi cha azam wataonyesha?
Mkopo wa mda mrefu.