Manchester United (Red Devils) | Special Thread

man u fans, madogo wetu wa walioshnda youth cup tuwapgie chapuo ktk talkreds saf awapange 1st team. Kuna ravel morrison-new rooney, kuna pogba-new vieira, kuna norwood-new beckam, kuna tunniclife-new roy keane, kuna will keane, king na adnaz. Hawa afta 2yrz hakuna timu dunian itakayotuletea mbwembwe.
 
Ebanae Tunniclife, Morrison, Pogba na Kean ni noma alafu kuna mtoto mmoja anaitwa Ajose naye anakiputa kweli kweli, Joshua King nadhani msimu ujao atakuwa Ujerumani kwa mkopo.. Ravel Morrison akituliza kichwa ana future nzuri sana, ningependa sana kumuona yeye Tunnie na Pogba wakibreak kwenye first team.
 

Better than Maradona: Messi (right) fires home a brilliant
second to draw comparisons with the very best


yeah Messi is a very good player...but to compare or even to try comparing him with the greatest like Pele, Maradona, Zidane, Ronaldo 'the phenomena', Ronaldhino et. al...it is absurd....until he wins the WORLD CUP then he can stand at same podium as the earlier mentioned greats...
 
Baadhi ya picha kutoka kwenye parade, sky sports wanareport kuwa mashabiki 150,000 walijitokeza pamoja na mvua kunyesha.

 

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee waulize Barca wenyewe wanaifahamu Arsenal inawafanyaga nini tuliwapiga magoli Emirates na mara tulipokwenda mechi ya marudiano refa aliwagongea tukacheza wachezaji 10. Hawa huwa wanatufanyia fitna kama unakumbuka hata golikipa alishapewa red card ili wao washinde lakini kwa Manure walifunga magoli ambayo hata mlivyobebwa hamjui mtatokea wapi.


BTW nyinyi mtashinda sana EPL kutokana na mtandao wa marefa wanaopokea bahasha kutoka kwa Fungie si unaona mwenyewe unakiri kwamba timu yenu mbovu. Nyie pamoja na Chelsick hamchekani moja mafioso mwingie bahasha na brown envelopes khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huyo Pogba nasikia mashine kweli ingawa bado sijabaatika kumuona
 


Mkuu hebu tuwekee orodha ya very best players na definition yake?
 
Wwewe kibonde hebu acha kelele tumechukua champions league mara 3 wakati nyie ni wasindikizaji kila siku
 
Belo upo kaka vipi matanga? Naona ulikwenda kutafuta msosi kwa waombolezaji mambo ni aje?
 
Wwewe kibonde hebu acha kelele tumechukua champions league mara 3 wakati nyie ni wasindikizaji kila siku

Khe khe kheeeeeeeeeeee mavi ya kale hayanuki khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW the pen name is Wacha1.
 
JAMANI PIQUE ANAFAIDII MHHHHHHHHHHHH

mwenyewe Pique ameniacha hoi..so hot!!..nimemwona Villa, Xavi kama sikosei hapo jukwaani..Shakira na Pique wanapendeza!!
bado sijawasamehe kwa kutufunga..agrrr!!
 
Last edited by a moderator:
mwenyewe Pique ameniacha hoi..so hot!!..nimemwona Villa, Xavi kama sikosei hapo jukwaani..Shakira na Pique wanapendeza!!
bado sijawasamehe kwa kutufunga..agrrr!!

Vipi bibie una fununu matanga yataisha lini?
 
Belo upo kaka vipi matanga? Naona ulikwenda kutafuta msosi kwa waombolezaji mambo ni aje?
Kamsaidie Mr Bean kutafuta wachezaji kule Ligue 1 msimu mjao mtaambulia kupigania nafasi ya Europa Cup
 
Kamsaidie Mr Bean kutafuta wachezaji kule Ligue 1 msimu mjao mtaambulia kupigania nafasi ya Europa Cup

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini Manure kazikwa na huyu dogo hapa chini nauliza tu matanga mtamaliza lini?










Usiwe mkali kwani wewe ndio kama huyu hapo juu?
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee ndio mkome ati tuliwaambia CL hakuna bahasha ..... ......
 

Majuto mjukuu .... ... vipi?
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee




ED ACHE ... Edwin van der Sar and Ryan Giggs
reflect on Man Utd's final agony against Barca
 




MASTERCLASS ... David Villa celebrates netting Barca's
third to finally kill off Manure
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie .... ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…