Ungekuwa na akili hata ya kuvukia Barabara tuu ungegundua kitu, hizo goli 40 kwa miaka 4 amecheza mechi ngapi??? Na huyu romelu likuku amecheza mechi ngapi kwa hiyo miaka 4????
Ungekuwa na akili hata ya kuvukia Barabara tuu ungegundua kitu, hizo goli 40 kwa miaka 4 amecheza mechi ngapi??? Na huyu romelu likuku amecheza mechi ngapi kwa hiyo miaka 4????
Sasa mtu ambaye hapati nafasi ya kucheza si ina maana hajui mkuu,hiyo akili ya kuvuka barabara umeshindwa hata kuitumia? Madrid huchezi na umezungukwa na wachezaji hodari bado wafunga hizo goals,na Juve je? Chelsea ni timu ndogo so atapata nafasi tu usijali mkuu..[HASHTAG]#GGMUTD[/HASHTAG]
Naona man utd fansa wanawasifia sana lukaku rushford .....ila jaman mmesahau hawa wawili Micki na lingard ....kwenye pre season wame onesha kiwango kikubwa sana ......