Ungekuwa na akili hata ya kuvukia Barabara tuu ungegundua kitu, hizo goli 40 kwa miaka 4 amecheza mechi ngapi??? Na huyu romelu likuku amecheza mechi ngapi kwa hiyo miaka 4????
FT: [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG] 2 Man City 0. @RomeluLukaku9 and @MarcusRashford clinch the [HASHTAG]#Manchesterderby[/HASHTAG] bragging rights! [HASHTAG]#MUTOUR[/HASHTAG] Manchester United on Twitter
Lukagoal lile bao mjingamjinga hafungi kwanza ile battle ya kukutana na kipa akapiga kichwa kisha kujikunja vile hivyo vitu ndio tuliopungukiwa ukijumlisha na volley za Pogba zimepata mkunaji basi ni burdan kwetu.