D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
ahsante kwa kujibu swali la 5Sijaona kelele zako juu ya Tuanzebe kuchezeshwa namba 6, mechi ya Wigan mwaka jana alimchezesha hapohapo.
Kumchezesha namba 6 sio kwamba ndio namba yake ni anamkuza kiakili kukabiliana na presha ya timu.
mkuu perreira ni backup ya herrera, uchezaji wao almost unafanana,nimebahatika kuangalia mechi zote mbili tulizocheza nchini marekani ila ninashangazwa na suala la mourinho kumtumia fundi andreas perreira kama ni deep play maker,kiukweli bado nimebaki najiuliiza masuali mengi sana kuhusiana na mustakabali wa kijana huyu
- je ina maana jose mourinho anataka kutuonesha sisi mashabiki na wapenzi wa manchester united ya kwamba perreira ndio mrithi wa michael carrick?
- au anataka kutuonyesha ya kwamba hizi kelele zetu tunazopiga juu ya kutaka amsajili nainggolan ambaye ni kiungo wa AS ROMA kwake yeye si kitu na anamuona andreas perreira anaweza kuwa ni bora zaidi ya nainggolan?
- au ameamua kuachana na mpango wa kumsajili kiungo wa ulinzi kama matic na dyer kutokana na soko la usajili kuwa ni gumu sana?
- au ni kwa sababu itakuwa ni vigumu kwa perreira kupata namba kama kiungo mchezeshaji kutokana na kuwa na wachezaji kama pogba, mata, mkhitaryan, lingard, herrera.
- au anataka kumfanya awe strong kama alivyomfanya herrera msimu ulopita?
Mpe mkeo sababu ya kuendeelea kutabasamu, tunajua amevumilia mengi mpaka kufikia kuitwa mke wako. Unapoalikwa kwenye harusi na kumuona bibi harusi akitabasamu usijekuangalia na kuwaza ukasema yule mwanamke ana furaha.
Hapana wanawake wengi mpaka kufikia ndoa wanakua wamepitia mengi, vipigo, manyanyaso, usaliti na mambo mengi ya ajabu ambayo wameamua kuyavumilia wakiamini kua labda baada ya kuolewa mambo yatabadilika.
Wengi hawacheki na kutasabasamu kwakua wana furaha, hapana wengi hucheka na kutabasmau kwakua wanamatumaini kua labda mwanaume baada ya kumuweka ndani basi atabadilika na kuwa mwanaume wa ndoto yao.
Wanatabasamu lakini wakiwa na mashaka kama ndoa itadumu huku wakiwa na kibarua si tu cha kulinda ndoa zao bali kulinda heshima za familia zao, kwamba watu wasije kusema kuwa ile familia haiolewi kwakua wana tabia flani.
Hembu kama wewe ni mwanaume najua unajua mambo ambayo umemfanyia mkeo kipindi cha uchumba, hembu leo amua na kusema hapana, sitaki mke wangu ushindane na michepuko yangu, nimeshakuoa wewe sitaki uvumilie mateso bali uvumilie shida na tutavumilia pamoja.
Muambie mkeo nakupenda na hata kama hutaweza kusema nisamehe kwa mdomo sema kimoyomoyo( japokuwa ni vyema zaidi ukamwambia live) na muambie nisamehe huko kichwani kwako, badilika na mpe tabasmau la milele, dumisha lile tabasamu ambalo ulimpa siku ya harusi mbele ya ndugu zenu na marafiki zenu.
Credits: Iddi Makengo
Hajaonyesha uugwana labda mzungu ila tujue mpira unachezwa na binadamu yeyote, tusibaguane sanaNilifikiri soccer is a fairplay and non racism game, au lile bango la FIFA la No racism ni kwa ajili ya wazungu tu.?
Nilikuwa nakuona mwanamichezo mwenzetu kumbe ni hovyo kabisa we jamaa. Umenibore sana we jamaa.
Nawaomba ndugu zangu wote wapenda michezo uwe mshabiki wa Man utd au timu yoyote ile ila hupendi ubaguzi tumpinge huyu jamaa, tumu=ignore kwa kila atakachopost ili ajue kuwa alichofanya sio kizuri maana lugha aliyotumia sio ya kiuanamichezo.
Mods pia kama mtasoma hapa naombeni huyu jamaa apigwe ban ili ajifunze ustaarabu.
Utoto unamsumbua,akikua ataacha mkuu!Nilifikiri soccer is a fairplay and non racism game, au lile bango la FIFA la No racism ni kwa ajili ya wazungu tu.?
Nilikuwa nakuona mwanamichezo mwenzetu kumbe ni hovyo kabisa we jamaa. Umenibore sana we jamaa.
Nawaomba ndugu zangu wote wapenda michezo uwe mshabiki wa Man utd au timu yoyote ile ila hupendi ubaguzi tumpinge huyu jamaa, tumu=ignore kwa kila atakachopost ili ajue kuwa alichofanya sio kizuri maana lugha aliyotumia sio ya kiuanamichezo.
Mods pia kama mtasoma hapa naombeni huyu jamaa apigwe ban ili ajifunze ustaarabu.
Huyo ni wa kum-ignore tu. Mimi yumo kwenye ignore list yangu. Cha ajabu anayemwita chimpanzee hata hamfahamu, na anaweza kuhudumia ukoo wao wote mpaka kiama. Akili za kimaskini na chuki za mafanikio ya Lukaku!Kwa huu ubaguzi uliouonyesha hapa jukwaani haufai kabisa kupewa ushirikiano na mwanamichezo yeyote yule, hata wa kutoka katika timu unayoishabikia..
Wakuu, wadau wa uzi huu na wapenzi wa soka mnaoutembelea uzi huu tukianza na Idimi Rutashubanyuma kisu cha ngariba Nzi Damushin The Bodmas mkurya org. ze-dudu Na wengine ambao sijawamention..
Tumpuuze huyu mbaguzi mpaka atakapokua na kuacha utoto!
Dunia haiishi maajabu hii!Dah, huyu ni mtu mweusi?? if so something must be wrong with this hopeless & very savage fella
Nami nimeshamuweka kwenye ignore list.Huyo ni wa kum-ignore tu. Mimi yumo kwenye ignore list yangu. Cha ajabu anayemwita chimpanzee hata hamfahamu, na anaweza kuhudumia ukoo wao wote mpaka kiama. Akili za kimaskini na chuki za mafanikio ya Lukaku!
Ungekuwa na akili hata ya kuvukia Barabara tuu ungegundua kitu, hizo goli 40 kwa miaka 4 amecheza mechi ngapi??? Na huyu romelu likuku amecheza mechi ngapi kwa hiyo miaka 4????Morata huyu huyu kwenye miaka minne kafunga goli 40 tu au mwingine?
π π π π π π lukumbesa π π π π π π πKwa hiki wanacho kifanya MADRID sio kitu kizuri kabisaa. Sisi tuliwapa CR7 wenyewe wanatunyima MORATA.
Tumeamua kumchukua ROMELU AMBROSI LUKUMBESA BOLINGO LUFUFU. Bila ya kupenda lilikuwa chaguo la Z.
Wallah kuanzia leo tunasema tunahamia BARCELONA.
Asee watu bhana
Kumi na moja alfajiri kwa saa za afrika masharikiWakuu mechi ya man u na man city ni asubuhi ya saa ngapi ..??
5:00Kumi na moja alfajiri kwa saa za afrika mashariki
5:00Wakuu mechi ya man u na man city ni asubuhi ya saa ngapi ..??