ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Wachezaji wa Ulaya siyo kama wa kibongoNa hayo mambo ya kuparty party huyo lukaku ayapunguze.
MU is decent club, asipokuwa makini atakatwa.
Bado naiona nafasi ya Morrata,na nitakuwa wa mwisho kuamini kama hatutomsajili Morrata.Bado tunahitaji mshambuliaji wa aina ya Aguero,mshambuliaji asiye mzito mzito! Lukaku ni mzito!
Haaaa haaa haaa haaa naomba tutajie list yako bro,mi kwangu naona wote Wana nafasi ila inategemea na mfumo sasa.Man U bado kuna wachezaji kama 6 inabidi tuwaauze wanamfanya Mo ashindwe kupanga timu
Sent from my SM-N910P using JamiiForums mobile app
Sasa wachezaji wa Man U nao wanaonekana kuwa World Class player,misimu miwili nyuma hatukataka hata kuwasikia, hii kitu ndio tuliimiss tulikuwa wanyonge sana,tukaanza kufungwa na timu ambazo hazikuwa hi kutufunga kabla,na kutoa droo na vitimu vidogo ambavyo mwanzo tulivifunga kwa ukubwa na hadhi ya jina,now baada ya kusajiliwa kwa Mou, na yeye kuwasajili akina Pogba na sasa Lukaku na bado kuwa sokoni na kiasi kikubwa cha Pessa, kuchukua Europa Legue now tumerudi katika line yetu.Mbona Bolingoli hayupo?
Sent from my MAX 5 using JamiiForums mobile app
Usajili haujakamilika. Ivan Perisic next week usajili wake utakamilkaJamani Nani anafata baada ya lukaku? Harafu Lukaku mbona hajajumuishwa kwenye kikosi leo
Imekaa pouwa sana kuona lugha yetu juu ya jezi za wazungu...Mbona last season walikuwepo Hull City
Kwa bongo ndo wageni ila huko walishajulikana