Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamani hili dili la Lukaku linaendaje maana siwaelewi elewi hawa Everton.
 
Binafsi ningependa mkongwe huyu kwa heshma yake angebaki mpaka yeye mwenyewe akasema jamani panatosha hapa miguu haina kasi tena wacha nikatafute pa kupumzikia yaani naona kama tumemtosa flan hivi ila ndio hivyo mambo yanabadilika. Wazza kafanya mengi penye club hii kachukua karibu vikombe vyote alivyo pigania kwa heri rooney kwa heri captain kwa heri wazza siku zote ulipenda kuona timu inashinda ulipigana kiukweli hata usoni uchungu wako ulionekana kila la kheri wazza.
 
Mkuu hata mimi hayo ndo mawazo yangu, naumia kweli captain kuondoka, lakini dah ndo ivo hakuna jinsi, jamaa kaipigania sana timu
 
Mwache akaimarishe home club Everton
 
Mpira wa Siku hizi ni biashara tu
Kocha anaona km Wazza Alikuwa anamaliza siti tu kwenye benchi
 
Jaman Lukaku sio straika tulomuhitaji aisee japo ni straika mzuri lkn simuobi akileta old glory pale OT labda tukifanya additn tena kwa kumuongeza ht Morrata
 
Kama Ferguson angekuwepo angemuuza Rooney tangu 2013,Still Wazza ataendelea kuwa United legend sioni mtu wa kuvunja rekodi yake ya kufunga magoli miaka ya karibuni
Labda Lukaku kama atafunga wastani wa 26 goals per season in ten years ambapo atakuwa 35 years?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…