Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Walituazima Rooney sasa tunawarudishia... Wametupa tena Lukaku... Duuuuuuuh... Mungu wabariki Everton wasishuke daraja...Na wasijali Baada ya miaka 8 tunawarudishia tena... GGMU [emoji123]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimecheka kweli na hii ila wako na usajili mzuri na kocha mahiri hivyo hawashuki labda kupanda ngazi moja tutawaachia
 
Kwani EPL ubingwa unaletwa na kuzifunga timu kubwa?Nauliza tu kiroho safi.
 
4d58beb729178857e979c9a7595c8d16.jpg
 
Walituazima Rooney sasa tunawarudishia... Wametupa tena Lukaku... Duuuuuuuh... Mungu wabariki Everton wasishuke daraja...Na wasijali Baada ya miaka 8 tunawarudishia tena... GGMU [emoji123]
Everton hashuki daraja
Ana kawaida ya kuiba"wasiojulikana" na wakatamba
 
Everton hashuki daraja
Ana kawaida ya kuiba"wasiojulikana" na wakatamba
Everton ya uingereza sawa na mtibwa bongo wao wanachukua wanatengeneza wanauza daraja hawashuki kizembe
 
Everton ya uingereza sawa na mtibwa bongo wao wanachukua wanatengeneza wanauza daraja hawashuki kizembe

Huko mbali sana mkuu, Everton ni kama Arsenal tu, hawashuki daraja wala hawashindi kikombe, wapo tu kuburudisha na kutoa upinzani kwa vipindi vipindi kama ugonjwa wa malare.
 
Back
Top Bottom