Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiukweli sijawahi muona lukaku aki perform kiuanaume katika mechi kubwa. Namuona ni mchezaji was mechi ndogo. Hyo inantia wasiwasi kwenye UCL
Mkuu wadau wameshaelezea huko juu sisi tunataka point kutoka kwenye team ndogo, msimu ulioisha tumepoteza point nyingi kwa team ndogo. Acha lukaku aje tuone, dunia sasahivi ina uhaba wa striker, Morata aliyekuwa anasugua bench Madrid wanataka 80. Achana na haters hata tungemnunua Morata wangeponda tu.
GGMU
 
Tulimtoa Yorke nadhani alikuwa Aston villa waqt na akaja ku shine pale OT wote kina teddy na dion Dublin walionekana wa kawaida tu kabla ya kuja pale naimani wapishi tunao na lukaku atang 'aa
 
Hii biashara inatakiwa Ed aimalize haraka, inakoenda siyo kuzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…