capacity charge
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 352
- 489
Je unaamini katika usajiri tu ndiyo mkombozi?! Vipi kwa timu kama Tottenham ikiwa na vijana hodari na machachali na msimu uliopita walianza tengeneza chemestry na ilionekana ambayo mimi naiona ndiyo bora je wasipo ingia katika soko la usajiri wataweza teteleka msimu huu? Ikiwa bado ilikuwa na mtaji wa vijana wao ambapo kwangu kama yasingekuwa majeraha nilianza kumuona MARCELO wa EPL yaani Dany Rose pamoja LAMELA je unaweza iweka nafasi ipi timu kama hii.?Msimu utakua mgumu sana na wakuvutia sana. Usajili utakaofanyika ndio itakua pona ya timu.
Naijua Man Utd haiwezi kurudi level itachukua miaka hata kumi au zaidi. Kwani nyota kusajiliwa ni tatizo. Kama ni biashara hata arsenal wanafanya hawana loss wamejaza pesa tu jiulize nini kinafanyika. Itabaki story tu.Kumbuka lakini sisi ni mabingwa wa Europa Ligue na ni misimu mitatu kabla ndio hatukufanya vizuri na Viashiria Vyote vinaonesha kurudi kwa ufalme wa Man U next season.
Huwezi ifananisha Liverpool na Man United chief katika hiyo Scenario yako.
Sisi kwa miaka miwili mfululizo licha ya kutokuchukua ubingwa bado tuliongoza kwa mauzo ya Jezi na thamani ya brand Yetu,Man United ndio timu yenye thamani Mbele ya Real Madrid iliyochukua UEFA championship mara mbili mfululizo.
Kwa takribani miaka 10 mfululizo man United haijawa kuwa chini ya namba mbili kwa timu zenye uwezo wa kifedha na thamani.
Hivyo ni rahisi kwetu kuingia sokoni na Zaidi ya 200 mio pounds kununua wachezaji na Makocha kitu ambacho Liverpool hawawezi.
Man United pekee ndio yenye uwezo wa kupambana na Real Madrid sokoni na ndio mana tuna rekodi ya Mchezaji ghali Zaidi Duniani na tunakaribia kutoa 75 kwa ajili ya Lukaku na 45 kwa ajili ya Matic na bado tunaweza kutoka 80 kwa ajili ya Morrata,kitu ambacho Liverpool hawakiwezi.
Ukija kwenye Makocha now tuna World Class kocha ambaye sina hakika kama Liverpool inaweza kumchukua na kumlipa.
Je unaamini katika usajiri tu ndiyo mkombozi?! Vipi kwa timu kama Tottenham ikiwa na vijana hodari na machachali na msimu uliopita walianza tengeneza chemestry na ilionekana ambayo mimi naiona ndiyo bora je wasipo ingia katika soko la usajiri wataweza teteleka msimu huu? Ikiwa bado ilikuwa na mtaji wa vijana wao ambapo kwangu kama yasingekuwa majeraha nilianza kumuona MARCELO wa EPL yaani Dany Rose pamoja LAMELA je unaweza iweka nafasi ipi timu kama hii.?
Hali ya Soko limebadilika sana siku za hivi karibuni,hii ni kutokana na uwepo wa Mawakala wa Michezo ambao wao huang alia Zaidi pesa kuliko uwezo wa Mchezaji,lakini vile vile hali hii huakisiwa na ongezeko la Mapato yanayopatikana kutokana na mchezo wa Mpira wa Miguu,mara nyingi timu hufaidika Zaidi kuliko mchezaji ndio mana hawa akina CR7 na Mwenzake Messi wamelibadilisha sana soko la Ulaya la Mpira wa Miguu kwa kulifanya kuwa la biashara Zaidi kwa kila wanachokifanya na hii kupelekea mawakala nao kuanza kuzipiga timu kupitia kwa wachezaji wao.Hivi ni soko limebadirika ama uwezo maana dah SANCHEZ anamjambisha Wenger anataka 400 kwa wiki. Lemar uhamisho wake wanataka 80 dah.!
Rooney first touch was and is still awful but that deficiency never fetters him from becoming Manutd legend.Romelu Rukaku is a decent player but he will need to work harder when he get to Manchester United to be like Tevez, Ibrahimovic or Rooney when he was younger. He will need to improve his link up play, back to the goal work and his first touch to become legend at Man Utd. On other hand is strong, pace and great finisher, therefore if he work on his game he might become one of the best in the world and United Legend. Time will tell.
25 years with 25 EPL goals kwa Everton musimu uliopita.Ila age ya Lukaku kila wakati inanipa shida
Mashabiki hela siyo sheda bali kufungwa hutuachia simanzi nzitoJana nilimsikia shabiki mwenzetu wa Manchester united anasema dau la kumsajaili Lukaku ni kubwa Sana na yeye anaumia sana kuwa Lukaku hana hiyo thamani,
Nilicheka sana how come unaumia kwa hela usiyoitoa wewe... Ushabiki wetu wa simba na yanga wa kutaka tuwe involved kwa kila kitu kwenye team uwe na mipaka jamani ... Sisi tujiandae na Kupiga kelele kwenye vibanda umiza financial issues za team hazituhusu
GGMU
Bro unaongea kama shabiki wa Mpira anayeujuwa mpira au unataka tujaze Sever tu hapa,any way kwa faida yako na wengine acha tuendelee na mjadala na hivi leo ni sabasaba so we're free.Naijua Man Utd haiwezi kurudi level itachukua miaka hata kumi au zaidi. Kwani nyota kusajiliwa ni tatizo. Kama ni biashara hata arsenal wanafanya hawana loss wamejaza pesa tu jiulize nini kinafanyika. Itabaki story tu.
Haiko hivyoJapo sijawahi changia humu jukwaani ila kwa hili naomba nichangie kidogo kwa ufahamu wangu.
Navyo jua jinsi timu zinavyo sajili wachezaji kwa bei kubwa na mishahara mikubwa hii inapelekea gharama za uendeshaji wa timu kuongezeka. Kwa kuongezeka huko gharama mauzo ya TV rights zitapanda sababu timu ni brand na gharama ya kuendesha hiyo brand imepanda. Kwa hiyo mfano DSTV itabidi alipie gharama kubwa hali itayo pelekea na wao kupandisha bei za huduma. Mwisho wa siku sisi wa kibnda umiza tutakuja kulipia bandani pale. Sasa katika hiyo scenario usiombe na thamani ya pesa yetu ishuke dhid ya dollar.
Kwa hiyo kwa namna moja au nyingine na sisi inatuathiri.
Musimu uliopita tulipoteza pointi nyingi na timu ndogo na Lukaku ni mahiri wa kucheka na nyavu zao na hilo Mourhnio kalipa uzito stahiliNi kweli lakini angalia ni kwenye mechi zipi kapata magoli mengi...yeye sio day to day scorer...akiwakuta vibonde anawanywa goli za kutosha...mechi za maana haonekani kabisa
Mind you still tuna UCL ambako ni league ya wakali tu wa ulaya
Dannywelbeck feki huyo ila Everton needed no fence so will his new employers besides Rooney is of the first touch loser but Manutd fans never put to the sword with those awkward ball control touchesManchester United will have to spend another £75M on safety glasses to protect their fans from Lukaku's first touch thenDanny Welbeck on Twitter
Weka haya maneno rehani khalafu musimu utakapokwisha jipime mwezi wa tano mwakaniMtu anafuga mbwa mkali nyumbani na getini anaweka kibao kuwa kuna mbwa mkali hapa pita kwa tahadhari. Watu wote wanaheshimu huo mtaa.
Bahati mbaya mbwa mkali anakufa kwa siri wengi hawajui wanabaki kuogopa bango tu ambalo mwenye mbwa kasahau kulitoa.
Man united ile ya wakati wa akina bathez kurudi nyuma haipo na haiji kuonekana.
Hii Man inayotunguliwa nne hadi na timu za mk donas ni shida. Imebaki story kama ilivyo kwa Liverpool. Man u haina meno kwisha habari yake.
Hizi ndizo takwimu za kuzingatiaRashford ni msimu wake wa pili.
Msimu wa kwanza (2015/16) kacheza mechi 11 kafunga goli 5.
Msimu wa pili (2016/17) kacheza mechi 32 (16 sub) kafunga tena goli 5.
Lukaku kuanzia 2012 yuko juu ya goli 15 kutoa 2014/15 alikuwa na goli 10.
Subiri hizo droo zibadilike muone mengine maana umeandika kama unapiga ramli. Mambo mengi ni ya kufikirika.Bro unaongea kama shabiki wa Mpira anayeujuwa mpira au unataka tujaze Sever tu hapa,any way kwa faida yako na wengine acha tuendelee na mjadala na hivi leo ni sabasaba so we're free.
Mafanikio ya Timu Yeyote yanategemea Vitu Vinne, Moja historia au ukubwa wa timu kiasili sifa hii nadhani timu hizi zote mbili zinazo Liverpool ndio wanaongoza kuchukua UEFA champion Zaidi ya Man U lakini wakifatiwa na Man United lakini katika historia Man United ndio mbabe kwa kuchukua makombe pale EPL,mbili uwezo wa kocha kwa misimu Zaidi ya mitatu tulikosa World class kocha,Moyes hakuwa top cocher duniani wakati anasajiliwa kuja kufundisha Man United,uwezo wa wachezaji binafsi,baada ya Ufalme wa Sir Fegurson ambaye aliweza kuwatengeneza wachazaji wa kuwa kuja kuwa World Class top player,aliopondoka waliomfatia walishindwa kuwa na uwezo huu na kufanya kuona vipaji halisi vya wachezaji wetu, na thamani ya timu katika kuvutia Wawekezaji, kulipa na kununua wachezaji wapya Wenye uwezo,Moyes na Van Gaal hakujuwa ukubwa wa Man United hawajuijuwa thamani halisi ya Man United na ndio mana uliona usajili wa kwanza wa Mou na Wenye thamani ni kumchukua Fellain ambaye hakuwa mchezaji Mkubwa Ulaya.
Van Gaal yeye katika utawala wake aliuza wachezaji wengi wazuri kama Chicharito na kutuletea wapaka Poda wake.
Any way tulikuwa ni kipindi cha Mapito na Mabadiliko now timu ipo kwa kocha mwenye kujuwa Vyote hivi na nzuri Zaidi anajuwa Kiu ya Mashabiki wake.
Bodi ya Man United inakiri kuwa ilifanya makosa makubwa sana kukubali timu kuachiwa Moyes na ndio tulipoanza kuyumba,Van gaal ni top class kocha alitusaidia kutengeneza barabara lakini alipishana na Falsafa ya timu.
Sasa Mou ni mtu sahihi pale Man United anaendana na Falsafa ya timu,ni kocha Mkubwa hivyo anahitaji na timu iwe kubwa na ndio mana aliweza fanya usajili wa uhakika na Mkubwa kurudisha hadhi ya Club Yetu.
Asernal wanakosa baadhi ya Sifa hapo kaka,Asernal sio timu kubwa Ulaya ni timu kubwa England so sio vizuri kuifananisha na Man United,Yes wanafanya vizuri sokoni lakini sio timu yenye kulipa wachezaji mishahara mikubwa sio Wenye kutoa pesa ndefu kwenye usajili.
Asernal imesajili nadhani ni wachezaji wawili top class players kwa misimu miwili ya hivi karibuni lakini sio timu kubwa kuifananisha na Man United na ndio mana wanakosa mbinu za kuchukua makombe.
Nimekwambia tumerudi katika ukubwa wetu au Level Yetu, Man United ni Mabingwa wa Uropa Legue,Kombe kubwa la pili bara ni Ulaya sasa hiyo miaka kumi ipi unayosema.
Kutwaa EPL msimu wa 2017/2018 tusubiri sina shaka na hili,mana hata msimu uliopita zile droo zingebadilika tungeongea mengine.
Agent Pogba on duty.
Japo sijawahi changia humu jukwaani ila kwa hili naomba nichangie kidogo kwa ufahamu wangu.
Navyo jua jinsi timu zinavyo sajili wachezaji kwa bei kubwa na mishahara mikubwa hii inapelekea gharama za uendeshaji wa timu kuongezeka. Kwa kuongezeka huko gharama mauzo ya TV rights zitapanda sababu timu ni brand na gharama ya kuendesha hiyo brand imepanda. Kwa hiyo mfano DSTV itabidi alipie gharama kubwa hali itayo pelekea na wao kupandisha bei za huduma. Mwisho wa siku sisi wa kibnda umiza tutakuja kulipia bandani pale. Sasa katika hiyo scenario usiombe na thamani ya pesa yetu ishuke dhid ya dollar.
Kwa hiyo kwa namna moja au nyingine na sisi inatuathiri.