Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ukitumia akili hasa kama umewahi kucheza mpira, utakubaliana na Mimi kwamba huyu alikuwa mchezaji mvivu uwanjani! Ndo sababu kati ya magoli yake, mengi kafunga akiwa inbox!Ruud van nistelrooy alikuwa penalty box specialist.
Yaani kati ya magoli 95 aliyofunga kwenye EPL magoli 94 ni ndani ya penalti box!
Hiyo ni 98.95% what a record
striker aliekamilika hadi akabe? RVN alikuwa striker mzuri, ana explosive pace, anafunga kwa style yoyote ile.Ukitumia akili hasa kama umewahi kucheza mpira, utakubaliana na Mimi kwamba huyu alikuwa mchezaji mvivu uwanjani! Ndo sababu kati ya magoli yake, mengi kafunga akiwa inbox!
Hii inaakisi udhaifu wa striker huyu! Inapotokea timu imezidiwa, aina hii ya wachezaji huwa wanatolewa mchezoni ili kuweka nguvu zaidi katika kuisaidia timu!
Kwa takwimu hizi, ukiingia in details, unaweza kukuta karibu magoli yake 20 ni controversial!
So kwangu Mimi huyu sio striker aliyekamilika!
Go home you drunk.Ukitumia akili hasa kama umewahi kucheza mpira, utakubaliana na Mimi kwamba huyu alikuwa mchezaji mvivu uwanjani! Ndo sababu kati ya magoli yake, mengi kafunga akiwa inbox!
Hii inaakisi udhaifu wa striker huyu! Inapotokea timu imezidiwa, aina hii ya wachezaji huwa wanatolewa mchezoni ili kuweka nguvu zaidi katika kuisaidia timu!
Kwa takwimu hizi, ukiingia in details, unaweza kukuta karibu magoli yake 20 ni controversial!
So kwangu Mimi huyu sio striker aliyekamilika!
Well said chiefstriker aliekamilika hadi akabe? RVN alikuwa striker mzuri, ana explosive pace, anafunga kwa style yoyote ile.
pure striker no 9 anatakiwa awe mda wote anatembea tembea na kuvizia (kama unavyoita mvivu), hii husaidia kumfanya awe na pumzi mda wote, ikitokea nafasi ndio utamjua kama ni mvivu ama la, angalia namba tisa nyingi zilizotikisa dunia zamani zilikuwa hivi
pipo inzhagi, ferguson ana usemi wake maarufu anasema pipo alizaliwa offside, jamaa mda wote anacheza na lines man na mstari wa offside ukizubaa sekunde moja tu kakueka, hakuwa mkabaji hakuwa akirudi nyuma kukaba, yeye ni mviziaji tu. kuna mechi akiwa mdogo alifunga goli 14 bila hata kuisaidia timu yake kwenye kitu chengine.
hao wanaosaidia timu kwenye mambo mengine sio striker natural, na siku hizi hakuna mastriker wa asili, watu kama aguero, rooney, benzema, firmino, walcot, sanchez, pedro, suarez etc walikuwa wana namba zao ila wanachezeshwa tu kama wafungaji mbele ila ki asili sio namba 9, kwa lugha nyengine sio poacher.
Awape sifa yao kwa kuwaita waviziaji na sio wavivu goal poachers walikuwapo kutokana na mifumo iliyokuwepo tukumbuke mpira unapita katika kipindi tofauti so mshambuliaji jukumu lake ilikuwa kucheka na nyavu ni ufundi ýaqub aigben wa nigeria katika world cup moja alikosa goli mita moja toka golini. Huwa nikimtizama chicharito nakikumbuka kizazi cha tore Andrew flo kina pippo na Rvnstriker aliekamilika hadi akabe? RVN alikuwa striker mzuri, ana explosive pace, anafunga kwa style yoyote ile.
pure striker no 9 anatakiwa awe mda wote anatembea tembea na kuvizia (kama unavyoita mvivu), hii husaidia kumfanya awe na pumzi mda wote, ikitokea nafasi ndio utamjua kama ni mvivu ama la, angalia namba tisa nyingi zilizotikisa dunia zamani zilikuwa hivi
pipo inzhagi, ferguson ana usemi wake maarufu anasema pipo alizaliwa offside, jamaa mda wote anacheza na lines man na mstari wa offside ukizubaa sekunde moja tu kakueka, hakuwa mkabaji hakuwa akirudi nyuma kukaba, yeye ni mviziaji tu. kuna mechi akiwa mdogo alifunga goli 14 bila hata kuisaidia timu yake kwenye kitu chengine.
hao wanaosaidia timu kwenye mambo mengine sio striker natural, na siku hizi hakuna mastriker wa asili, watu kama aguero, rooney, benzema, firmino, walcot, sanchez, pedro, suarez etc walikuwa wana namba zao ila wanachezeshwa tu kama wafungaji mbele ila ki asili sio namba 9, kwa lugha nyengine sio poacher.
ni kweli mkuu mpira unapita vipindi tofauti, siku hizi kutumia false 9 ni kama fashion, timu kubwa nyingi zinatumia hivyo. poacher wamepotea kabisa.Awape sifa yao kwa kuwaita waviziaji na sio wavivu goal porcher walikuwapo kutokana na mifumo iliyokuwepo tukumbuke mpira unapita katika kipindi tofauti so mshambuliaji jukumu lake ilikuwa kucheka na nyavu ni ufundi ýaqub aigben wa nigeria katika world cup moja alikosa goli mita moja toka golini. Huwa nikimtizama chicharito nakikumbuka kizazi cha tore Andrew flo kina pippo na Rvn
Yote tisa lakini kumi Joe Hart sioni mwelekeo wa kwenda Manutd hana kiwango cha kuchezea ManutdTETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 02.07.2017
Arsenal wanajiandaa kutoa pauni milioni 125 ili kumsajili Kylian Mbappe, 18, kutoka Monaco na kuwazidi kete Real Madrid (Sunday Mirror).
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amemuambia Alexis Sanchez, 28, kuwa hatojiunga na Manchester City msimu huu (Mail on Sunday).
Everton wanapanga kutaka kutoa pauni milioni 20 kumsajili mshambuliaji wa Arsnenal Olivier Giroud, 30 (The Sun).
Meneja wa Bayern Munich Carlo Ancelotti ameonekana kutaka klabu yake kumsajili Alexis Sanchez kutoka Arsenal kwa kusema Sanchez ni “mchezaji mzuri” (London Evening Standard).
Manchester City pia wanamtaka Alexis Sanchez, lakini Arsenal hawatoruhusu mchezaji huyo kwenda katika klabu hasimu inayocheza Ligi Kuu ya England (Mail on Sunday).
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola, yuko tayari kumruhusu kipa Joe Hart , 30, kuhamia kwa mahasimu wao Manchester United (Sunday Express).
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho bado atataka kumsajili mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku, 24, hata kama klabu hiyo itamsajili Alvaro Morata, 24, kutoka Real Madrid (Sun).
Jurgen Klopp atamzuia Daniel Sturridge, 27, kuondoka Liverpool, kwa sababu itagharimu sana kupata mtu wa kuziba nafasi yake (Mirror).
Kiungo wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain, 23, amekataa kusaini mkataba mpya Arsenal na yuko tayari kumaliza mkataba wake wa sasa na kuwa mchezaji huru msimu wa mwakani (Sunday Times).
Mshambuliaji Diego Costa, 28, anakaribia kujiunga tena na Atletico Madrid kutoka Chelsea, lakini hatoweza kucheza mpaka mwezi Januari (AS).
Beki wa Roma Anonio Rudiger, 24, ameonesha dalili kuwa anajiandaa kujiunga na Chelsea katika picha aliyoweka kwenye Instagram (Metro).
Chelsea wanataka kumsajili beki wa Exeter City Ethan Ampadu, 16, na wanajadili fidia kwa klabu hiyo ya daraja la pili (Guardian).
Swansea wanakaribia kumsajili kiungo mchezeshaji wa Las Palmas Roque Mesa, 28, kwa pauni milioni 11 (Sunday Telegraph).
Wakala wa beki wa kulia wa Arsenal Hector Bellerin, 22, wameanza mazungumzo na Barcelona ya kumrejesha mchezaji huyo katika klabu yake ya zamani (Sport).
Beki wa Leeds United Charlie Taylor, 23, anakaribia kujiunga na Burnley (Yorkshire Post).
Habari zilizothibitishwa tutakujuza mara zitakapothibitishwa. Kwa orodha kamili ya wachezaji waliokamilisha rasmi usajili bofya link hii: Transfers - July 2017
Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Jumapili njema.