Ukiona imeandikwa Milan jua inazungumziwa Ac Milan.Pamoja na Inter Milan kutikisa kiberiti lakini matendo yao yanawasaliti.
Kwanza wamenunua wachezaji wanne na wanaongezea kununua midfielders wawili huku by 30th June wasipouza na kuwa na benki hela ya uhakika watapigwa faini za FIFA FAIRPLAY
Nionavyo hatumalizi weekend Inter Milan itamruhusu Ivan Perisic kujiunga na Manutd before deadline yao ya 30th June
View attachment 531159View attachment 531160
Hongera sana!Ukiona imeandikwa Milan jua inazungumziwa Ac Milan.
Inavyoelekea tunawachukua wote wawili Morata na Rodriguez
Huu ni mkakati wa Jose kwa musimu ujao wa kufunga mabao haswa hadi watukome
Tukimsajili Morata itakuwa poa sana
Kweli James ni laini sana sidhani kama anaweza ile mikikimikiki ya EPL.James hatufai.
Matic tena ?Kesho Matic kufanya medical akifanikiwa basi tumevuna dume hapo
Ukiona imeandikwa Milan jua inazungumziwa Ac Milan.
Usajili huu ni KizungumkutiJames hatufai.
Usajili huu ni Kizungumkuti