Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah...naona washabiki wote wa Mtibwa (Arsernal) na Moro United (Chelsea) na watanizetu wa Jadi Simba (Liverpool) wako upande wa Barca........hii kikombe akichukua ManU sijui watajificha wapi............

Watajibeba
 


WHAAAAAAAAAAAAT A GOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAALLLL!!!!
 
kama kuna mtu anayefahamu website inayoonyesha gemu la man na barca anitumie link tafadhali, hapa nilipo sina access ya TV
 
Kama Barca watashindwa hii game,basi watajutia nafasi walizokosa na ambazo wanaendelea kuzikosa...Magoli ya wazi,kama Arsenal.
 
Barca naona wao mpira wa kona hauna tofauti na mipira mingine..............naona Messi keshafanya vitu vyake
 
Messi kafunga,Brca 2 Man U 1,Bonge ya Goli,this guy is a legend,akiweza kuwin na wordl cup/s,basi he will be the greatest ever.
 
Mesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah.................................mesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Sir Alex na mauwa rozi yake amepachika kwenye suti amebakia kutafuna tu chewing gum.
 
Kweli Barcelona are the best,wanamiliki mpira,wanapiga pasi za one two,everwhere hadi ndani ya kumi na nane ya Man U,na Messi kwa raha zake tu,Van Der Saar anaendelea kuwaokoa kulimwa mabao mengi zaidi,kweli mtambukumbuka since hii ni mechi yake ya mwisho.
 
Haya,Nani is in for Fabio,maybe he can change the game,coz Man U currently nyanya.,Villa la Pili,kama nilivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…