Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yeah sure maana CR 7 wasasa hatakuwa na tofauti kubwa na Zlatan.Pia soka la laliga lipo soft na linaendana na umri wake ukilinganisha na EPL.

Sana sana atakuja kuziba nafasi za madogo,hana lolote yuko kibiashara zaidi nadhani ni ujinga uliopitiliza kumnunua mchezaji wa 32 hatuwezi kumuuza tena.
 

Kwahiyo bora Dier kuliko Matic? Dier kabisa? Kweli unaitakia mema Man United?
 
Namkubali sana ronaldo ila umri umekwenda sana kwa pilika pilika za EPL tutajipa hasara madrid kwenyewe anabebwa na mafundi pale kati labda aende PSG akale pensheni kule ataendelea kusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…