Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Smalling inabidi atafute timu mapema,hakuna namna!Future ya Smalling na Jones mashakani ukizingatia jinsi wasivyojua kukaba
Fellaini tegemeo kikosi kijacho sahau kuuzwa AF jamaa anapiga sana mzgoMpaka usajili wapya huwezi kusafisha safu ili usipofanikiwa kusaili basi udemedeme na ulionao.
Carrick kuongezewa mwaka mmoja, Rooney huenda akamalizia mkataba wake, Young, Fellaini huenda wakaishia
Kwenye soko la usajili unatakiwa kuwa makini sana sokoni hasa kipindi hichi ambacho kila timu inataka kuchuma kutokana na uwepo wa mawakala kupandisha bei/thamani za wachezaji wao sokoni bila kuangalia thamani halisi ya mchezaji,ndio mana now kuna bei za ajabu sana kwa sasa.Man United are paying €35m (£30.7m) for Lindelof. He was on a three-man list of centre backs José gave Ed Woodward - with M Keane & Van Dijk
Points zako ktk hii comment ni nzuri,ila hapo kwa Matic huyo jamaa simkubali kabisa,sijui kwanini.Kwenye soko la usajili unatakiwa kuwa makini sana sokoni hasa kipindi hichi ambacho kila timu inataka kuchuma kutokana na uwepo wa mawakala kupandisha bei/thamani za wachezaji wao sokoni bila kuangalia thamani halisi ya mchezaji,ndio mana now kuna bei za ajabu sana kwa sasa.
Mfano bei ya Mbappe.
Ila kama ni mfatiliaji mara nyingi Mou amekua akisajili kiufundi Zaidi, haangalii mbwembwe za timu nyingine,kama wanavyofanya Madrid licha ya timu kuwa na uwezo wa kifedha na nguvu ya kufanya hivyo,Mou huwa anataka wachezaji wamatokeo au wanaume wa kazi Zaidi.
Timu yetu inahitaji wachezaji watatu au wanne tu msimu huu,beki wa kati,viungo wawili na mshambuliaji wa uhakika mmoja,kama soko litaruhusu ndio tunaweza kusajili washambuliaji wawili kwa bei nzuri.
Tuna wachezaji wazuri tu kikubwa ni Mwalimu kufanya kazi yake na kuwafanya wachezaji waliopo kubadilika na kucheza soka la Ushindani na la hali ya Juu,kuwatia matamanio ya kuwa wanaweza na kuja timu ya Ushindi na wao kuwa wachezaji wakubwa Duniani.
Nadhani tumeshamsajili beki tayari kwa kuziba pengo la namba 4 na 5 pale,kumbuka tayari tulikuwa tunao Baily na Marcus Rojo.
Hatuna mapungufu katika namba 2 na tatu.
Kwenye eneo la kiungo tayari tumemuongeza mkataba Carrick,tunahitaji kiungo mwingine Fundi namba 6 hata tukikosa bado eneo hili hatuna mapungufu makubwa sana ni kuwafanya waliopo kutisha Zaidi na kutengeneza Chemistry yao,Carrick, Herera,Pogba na Matta.
Right na left wingers pia tunahitaji mtu mmoja,ndio mana unaona tunaenda Inter kwa Persic ila tunao akina Mick,Lingard na mkongwe Ashley young.
Kwenye Ushambuliaji ndio kuna mahitaji makubwa sana now,hatuna Strickers kabisa Zaidi ya wasaidizi ,ndio mana unaona tunaenda sana kwa Morata baada ya Griezman kuchomoa na kuachana na Ibramohovic,that y kuwa safe Zaidi inalazimika kuendelea kuwa na Rooney kama akiba.
Hili eneo lazima tutoe mpunga wa maana hatuna jinsi mana timu zote tunazotaka kusajili washambuliaji wao wanajuwa mapungufu na mahitaji yetu katika eneo hili ndio mana unaona kuna ongezeko la bei pindi tunapoenda na hii yote husababishwa na mawakala wa wachezaji hao.
Tusipokuwa makini tunaweza kutoa pesa ndefu kama ilivyokuwa kwa Pogba,tulitoa pesa ile kwa sababu kuu mbili au tatu,1. Mahitaji ni kweli tulikuwa tunahitaji mchezaji wa aina ya Pogba kwenye kiungo,2. Pressure ya kuwa na mchezaji mkubwa kwa sababu ya kulinda mikataba na jina kibiashara na tatu kuwa na mchezaji mwenye jina na uwezo ndani ya uwanja kulinda heshima Yetu.
Sina Wasiwasi bado tunayo nafasi ya kuendelea kusajili,bado milango na mazungumzo yanafanyika lakini kwa kipindi hiki lazima kusajili wachezaji watatu hadi wanne.
Kisha kuangalia mapungufu Yetu baada ya match za round ya kwanza na kuja kusajili wachezaji Wengine wawili kwa ajili ya kukazia kikosi so far so good hatuna hali mbaya sana na kama tukipata mshambuliaji wa kariba ya Morata or Rodriguez tutakuwa vizuri Zaidi.
Madrid lazima wamuachie mshambuliaji mmoja sasa ili kutengeneza mazingira ya CR7 kuja kusimama kati next season kutokana na umri na ndio mana unaona wanamfukuzia Hazard kuja kuwa mrithi wake.
Na timu ya kutuuzia mshambuliaji ni Real Madrid sema ndio hivyo wanasikilizia Dau na kuona kama kuna uwezekano wa kutumia nafasi hii kumpata De Gea.
Any way ila usije shangaa ukisikia tunamsajili Matic.
Fellain anajituma sana, sema critcs za pundits na wadau wengine wa mpira ndio zinasababisha jamaa aonekane sio akifanya mistake ndogoFellaini tegemeo kikosi kijacho sahau kuuzwa AF jamaa anapiga sana mzgo
Ila msimu unaokuja tutaendelea kuwa nao. Baada ya hapo ndio future yao itakuwa decided.Future ya Smalling na Jones mashakani ukizingatia jinsi wasivyojua kukaba
Fellain alikuwa na mwanzo mbaya katika kikosi chetu mwanzo mwa msimu wake kutokana na majukumu aliyokuwa amepangiwa na Moyes,Moyes alishindwa kuendnana na Falsafa ya United na kuhamisha soka la Everton pale Old T na kumfanya Fellain kuwa mchezaji huru na mchezaji tegemeo bahati mbaya mfumo ule ulishindwa kuzalisha matunda yaliyotegemewa na kuifanya Man U kuwa na msimu mbaya kuliko misimu mingine yeyote tangu kuanzishwa kwake,lakini huyu alikuwa mchezaji tegemeo sana ndani Everton ya Moyes akicheza kama kiungo mshambuliaji na kufunga mabao muhimu yaliyoisaidia Everton.Fellaini tegemeo kikosi kijacho sahau kuuzwa AF jamaa anapiga sana mzgo
Basi tu kwa kuwa tuna Herera na Carrick lakini hii kazi ingeweza kufanywa na huyu Mtu,ndio Engine ya Chelsea tangu kurudishwa pale,tuliona kung'aa kwa Viungo wa Chelsea kwa kazi ya huyu mtu.Points zako ktk hii comment ni nzuri,ila hapo kwa Matic huyo jamaa simkubali kabisa,sijui kwanini.
umezungumza ukweli kuwa msimu uliopita tatizo letu kubwa lilikuwa kwenye ushambuliaji licha ya kwamba zlatan ibrahimovic alifunga magoli 26 msimu mzima.Kwenye Ushambuliaji ndio kuna mahitaji makubwa sana now,hatuna Strickers kabisa Zaidi ya wasaidizi ,ndio mana unaona tunaenda sana kwa Morata baada ya Griezman kuchomoa na kuachana na Ibramohovic,that y kuwa safe Zaidi inalazimika kuendelea kuwa na Rooney kama akiba.
Hili eneo lazima tutoe mpunga wa maana hatuna jinsi mana timu zote tunazotaka kusajili washambuliaji wao wanajuwa mapungufu na mahitaji yetu katika eneo hili ndio mana unaona kuna ongezeko la bei pindi tunapoenda na hii yote husababishwa na mawakala wa wachezaji hao.
Hope tuwe na mapacha kama Dwight Yorke and Any Cole,hapa tunaweza kuwa na wastani wa goli 50 per seasons,afu nje tuwe na Rashford na Martial.umezungumza ukweli kuwa msimu uliopita tatizo letu kubwa lilikuwa kwenye ushambuliaji licha ya kwamba zlatan ibrahimovic alifunga magoli 26 msimu mzima.
hata kama zlatan ibrahimovic angelibakia basi tulipaswa kusajili mshambuliaji mwengine mwenye uwezo wa kufunga wastani wa magoli 25 kwa msimu.kwa hivyo kabla ya kutatua tatizo la ushambuliaji tumezidisha tatizo la ushambuliaji kwa kumuondoa mwanadamu aliyefunga magoli 26.
Hivyo basi kwa mtazamo wangu tunapaswa kusajili washambuliaji wawili ambao wana uwezo wa kufunga magoli 25 kwa kila mmoja au tusajili mchezaji mmoja mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwa msimu.
kivyovyote hatuna uwezo wa kusajili mchezaji mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 (messi na ronaldo) kwa msimu kwa sababu hawauzwi hata kama tutatoa mapato ya mwaka mzima ya timu ila tunao uwezo wa kusajili washambuliaji wawili na kama tutafanya hivyo basi tutakuwa ndio tumeondoa tatizo la ushambuliaji.
Damu ya kunguni tu hana huo ubaya watu wanaompa pana game katubeba sana na kwa akili na ufundi wa mou kwa wachezaji tuliokuwa nao aliifanya kazi yake vizuriFellain anajituma sana, sema critcs za pundits na wadau wengine wa mpira ndio zinasababisha jamaa aonekane sio akifanya mistake ndogo
Ya kipindi cha wale wamakonde tulikuwa vizuri huku super sub akiwa Ole gunnar na teddy ilikuwa Safi sana kama ulivyoainisha tatizo la kupata striker mwenye uwezo wa kufunga japo bao 35 kwa msimu ni muhali kumpataHope tuwe na mapacha kama Dwight Yorke and Any Cole,hapa tunaweza kuwa na wastani wa goli 50 per seasons,afu nje tuwe na Rashford na Martial.
Nina asilimia Zaidi ya 70 Morata ni No. 9 wetu ajae sina shaka na hili na ndio mana tumeachana na Ibramohovic ili kutengeneza mazingira ya kupata Strickers wa kiwango cha Dunia.
Edwood yupo busy na simu na vikao vya mawakala wa hawa wachazaji kwa sasa huku financiers wetu wakiwa busy kuandaa dau kwenda kwa Club zao.
Chezea papuch wewe[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hajasema ila angefurahi kwenda Madrid kwa sababu ya gal friend
Umeongea vyema sana mkuu naimani belloti na morata ni watu sahihi katika hili sualaumezungumza ukweli kuwa msimu uliopita tatizo letu kubwa lilikuwa kwenye ushambuliaji licha ya kwamba zlatan ibrahimovic alifunga magoli 26 msimu mzima.
hata kama zlatan ibrahimovic angelibakia basi tulipaswa kusajili mshambuliaji mwengine mwenye uwezo wa kufunga wastani wa magoli 25 kwa msimu.kwa hivyo kabla ya kutatua tatizo la ushambuliaji tumezidisha tatizo la ushambuliaji kwa kumuondoa mwanadamu aliyefunga magoli 26.
Hivyo basi kwa mtazamo wangu tunapaswa kusajili washambuliaji wawili ambao wana uwezo wa kufunga magoli 25 kwa kila mmoja au tusajili mchezaji mmoja mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwa msimu.
kivyovyote hatuna uwezo wa kusajili mchezaji mwenye uwezo wa kufunga magoli 50 (messi na ronaldo) kwa msimu kwa sababu hawauzwi hata kama tutatoa mapato ya mwaka mzima ya timu ila tunao uwezo wa kusajili washambuliaji wawili na kama tutafanya hivyo basi tutakuwa ndio tumeondoa tatizo la ushambuliaji.
Mtoto wa OT yuleLingard hajaoneshwa mlango wa kupita mpaka Leo?
Hata mimi ndivyo ninavyoona Mourhnio hapendi wachezaji wasiotumia mbongo zao na kuusoma mchezoSmalling inabidi atafute timu mapema,hakuna namna!