Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Vidic hajasahau kufunga kwa kichwa nakumbuka aliwafunga Chelsea na Mourhnio akiwa kocha wa Real Madrid alitupa kalamu Vidic alipofunga bao la tatu kwa kichwa
sijawah kumpenda cr toka yupo Man UtdMechi hiyo Nani alilimwa red Real walishinda mbili moja goli la ushindi la Real Madrid likifungwa na Christiano Ronaldo kwa kichwa
Kwaninisijawah kumpenda cr toka yupo Man Utd