Haaaa haaaa haaaa afu sijui kwanini Mou hatii Mkazo kwa Morata, ni rahisi kumpata Morata kuliko Griezman,ila sijajua msimamo wa Morata juu ya kuja Egland,tuna mahusiano mazuri na Real Madrid na inaonekana Zidane hana matumizi naye.
Naomba na kutamani sana Man U tumsajili Morata next season pale EPL patawaka.