Kwa hiyo? Manutd walimsajili Bebatov na Louis Saha wenye uzoefu wa kufunga magoli ndani ya EPL lakini matokeo yake hawakuwahi kushinda golden boot!
Akaja Ruud Van Nisteroy kutoka ligi ya Everstite rekodi yake ya kufunga bado inakumbukwa iwe EPL au Champions ligi
My point treat each case as unique because the past experiences of other players irrelevant
Hujui life is for risk takers,?Na sio guarantee kuwa ukimleta mchezaji bora wa ligi fulani lazima awike..
Pia anaweza mchezesha kama LWBUpo sahihi Griezman sio completely namba 9 ye ni namba kumi Zaidi, lakini faida yake anacheza namba,9,10,11,7 na mara chache namba 8 lakini kwenye hii hayupo vizuri sana.
Ila kama akisijiliwa sio mbaya itategemea na mifumo ya Kocha,tunaweza mtumia kama False striker kama Kocha atatumia washambuliaji wawili.
Na vilevile anaweza kutumika kama kiungo mshambuliaji kama Kocha ataamua kuua namba tisa na kuwa na Viungo Zaidi ya watatu mfumo ambao Mourihno ameutumia sana msimu huu kwa kuuwa wing moja hasa no.7.
Jamaa yuko vizuri.Ivan Perisic the real deal!
Ni kivumbi kuwapelekesha musimu ujao. Na tukimsajili Belloti ujue ubingwa EPL wetuJamaa yuko vizuri.
Belloti nimemutazama mbona siwakiwango kile cha kutisha..Ni kivumbi kuwapelekesha musimu ujao. Na tukimsajili Belloti ujue ubingwa EPL wetu
Belloti nimemutazama mbona siwakiwango kile cha kutisha..
Perisic yupo vizuri mno!!
Ila mkuu huoni kama ni mapema sana kuraise expectations?Ni kivumbi kuwapelekesha musimu ujao. Na tukimsajili Belloti ujue ubingwa EPL wetu
Belloti ni magoli anafunga na ni mbunifu kuliko LukakuBelloti nimemutazama mbona siwakiwango kile cha kutisha..
Perisic yupo vizuri mno!!