nashkuru kwa kunikumbusha mkuu. Ila kiukweli Pogba anawauma sana. Alivyokuwa Juve,daily walikuwa wanatucheka eti tumekubali mchezaji kama yule ameondoka. Karudi wanabadili maneno
nashkuru kwa kunikumbusha mkuu. Ila kiukweli Pogba anawauma sana. Alivyokuwa Juve,daily walikuwa wanatucheka eti tumekubali mchezaji kama yule ameondoka. Karudi wanabadili maneno
Mfano mashabiki wa Arsenal ndio wananichekeshaga sana. Hasira za kocha wao wanazileta kwa wengine. Sisi tulisajili Pogba kwavile tulikuwa tunamuhitaji katika timu,ila kocha wao alisajili Lucas Perez ili kuwanyamazisha,but hakuwa anamhitaji ndio maana yuko benchi tu.
Uyo anayesema herrera hawezi kataa kwenda barca itakuwa akili zake zipo matakon kama za gigy money ....kama ujui mourinho yupo lazi amuuze de gea na rashford at the same time lakini sio herrera. Wachezaji waliofit mfumo wa mourinho msimu huu ni Valencia na Herrera. Herrera kaitwa national team for the first time......Herrera anapewa heshima kubwa sana na mafans wa man utd ...kuna mechi moja sijui ipi pale OT waingereza walimwandikia bango Herrera 'Herrera is not a Spaniard,he is English'.....sasa mpk waingereza walivyokuwa na nyodo na kulinga kwa kujiona taifa lao superior alaf wanakubatiza utaifa wao lazima ushtuke kidogo .....