Kesho alhamisi ndio hatma ya usajili wa Griezmann kwenda Manchester United itajulikana,so far Atletico Madrid walifungiwa na FIFA kusajili wachezaji kwa miaka 2 kwa kuvunja sheria kwenye usajili wa wachezaji chipukizi kwenye academy yao lakini walikata rufaa ambayo kesho ndio hukumu itatolewa(kuna tetesi adhabu haitafutwa wala kupunguzwa),Atletico wanaamini watashinda rufaa ili wamuuze Griezmann then wamsajili Alexander Lacazette au Diego Costa kuziba pengo lake.Griezmann alishakiri yuko tayari kuhama Atletico kwenda timu nyingine kushinda vikombe na tangu ametua Atletico hajawahi kuchukua kombe lolote
Antoine Griezmann ana release clause kwenye mkataba wake kama kuna timu itafikia dau lililowekwa klabu itamuuza (hii haina uhusiano na adhabu ya kutosajili)so far PSG & United ndio wamefika hilo dau lakini Griezmann aliwaambia PSG hana mpango wa kucheza Ligue 1 ikabidi PSG wahamie kwa Aubemeyang toka Dortmund
Sent from my NokiaX2DS using
JamiiForums mobile app