Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Wanasema wamegundua yule ng'ombe anatabiri matokeo kinyume...alisema Ajax lakini ni man united wakaibuka mabingwa...sasa nasikia ametabiri madrid atashinda na kwenye FA chelsea atashinda [emoji23] ngoja tusubiri tuone kama ni kweli kwa sasa asichinjwe kwanza
Ni funzo kubwa sana maishani kwamba usipoteze muda kung'ang'ana na vitu ulivyopoteza bali tumia kile ulichonacho na ukishike sana ili ufike unapotakiwa.In fact alipoona nguvu ya kukabiliana na akina Chelsea ni ndogo, Mourinho aliamua kuhamishia majeshi Europa. Uamuzi wake haujamuangusha kabisa
Hahahaha ni wetu sote!! Si unajua wengine ndoa za mkataba katika raha tu hahahaha!!everlenk
Njoo huku kun vijana wapya wamevamia sred yako!
Ww hukuondoka ktk sred hii hata team ilipokuwa down
Lkn sasa wamevamia hawa wanaokuja team inapofanya vyema tu wanataka kukupokonya sred!
Pigania haki yako shem
Tumekutana nao juuu!!! Woyooooo!! Mlango mmoja ukifunga fosi kufungua mwingineeee!!! Using'ang'ane na lidoor liliokuwa closed ukaja kufa bureeeee!!!!!!Tumekatiza boda (denge )kucheza UCL
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] neno kuntuNi funzo kubwa sana maishani kwamba usipoteze muda kung'ang'ana na vitu ulivyopoteza bali tumia kile ulichonacho na ukishike sana ili ufike unapotakiwa.
#Mouisgenious#VivaUnited#
Asante sana dear wangu nakumiss ile ile ila mwaka huu mmeniangusha mno,hope tutakutana Italy.Hongereni wazee,, mambo co mabaya aise
Pesa nyingi sana hiyo bora Dyabala ambaye bado ana umri mdogo tunaweza kukaa nae kwa muda mrefu
Teh! Teh! Teh!Arsenal missing out on the Champions League for the first time in 20 years, but they've never won it.. What are they going to miss exactly, UEFA anthem!!???
Na champions ligi kumi tena mfululizoMiaka 15 as a manager?
Assume miaka yote 15 ameimalizia United na kila msimu ana atleast makombe mawili ya kubeba.
Kwa miaka 15 atakuwa na jumla ya makombe 30.
Sijui liverpool watakuwa wapi wakati huo.