Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aluta Continua Manchester United,,, Tunamshukuru Mungu kwa kusikia sala zetu,, UCL here we come,,,, Mou usituangushe kwenye dirishaaa,, vuta majembe haswaaa yakapambane heshima irudi,,, GGMU,,

We are the champiooons..
Uefa Champions League brought you by Heineken,,,....
 
Now, ngoja tusubirie usajili kitu ambacho najua Mourinho hatatuangusha. Baada ya hapo bring em' yeyote kati ya Juventus au Real Madrid. Can't wait.
 
everlenk
Njoo huku kun vijana wapya wamevamia sred yako!
Ww hukuondoka ktk sred hii hata team ilipokuwa down
Lkn sasa wamevamia hawa wanaokuja team inapofanya vyema tu wanataka kukupokonya sred!
Pigania haki yako shem
Kwa hiyo mkuu ulitaka wasichangie? Ivi kuna masharti ya kuchangia thread now a days??? Kumbuka kinyume cha furaha ni huzuni na hasira...tusifikishane huko arifu acha watu wawe huru!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…