Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu namba 11 wao alikua hataria sana pamoja na yule traole, huyu traole ndio alikua balaa kabisa! yani unamkuta ameingia namba kumi mara yuko namba 11 hujakaa vizuri unamuona yuleeee kule namba upande wa kulia namba saba anakimbia kama swala daaah!!

Good news is walidhibitiwa kiustadi kabisa!!

 
Gareth Bale atatufaa sana coz ana spidi kule Madrid kachokwa
 
Haya saasaaaaaaa!!! heheheheee yani leo ni furaha mbili ya kwanza kubeba kombe ya pili ambayo naweza sema ndiyo kubwa zaidi ni kupata uhakika wa UEFA next season!!! heheheheee leo mou kashangilia kinyamaaaaa muone hapo alivo na mzuka!!!

Japo hatukuingia big four ila malengo yametimia UEFA next season!!! GGMU

UNITED FOREVER WE STAND!!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…