hehehheee tukutane UEFA msimu ujao!!! so far japo tumeshinda ila hawa ajax wana defensi moja nzuri sana! kale ka chalii kanaitwa sanchez daaaah! nadhani huyu ni wa kuchukua kwakweli atatusaidia sana msimu ujao!!!
Mourinho hata tuki mdiss lazima tukubali ukweli kwamba hamna kocha angeweza imudu man u kama mou msimu huu!!
Mashabiki wa aseno waikua wanatucheka tuko namba sita ehheheeee wataisoma nambe europa msimu ujao!!! kesho natembea kifu mbele mtaani dadekiii!!
Our goals can only be reached through a vehicle of a plan, in which we must fervently believe, and upon which we must vigorously act. There is no other route to success.
GGMU. [HASHTAG]#WESTANDTOGETHER[/HASHTAG]