Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongereni kwa mafanikio yenu ya kuchukua kombe la sita, mafanikio ambayo Manchester ilisherehekea mwaka 1964 nyie ndio mnasherehekea leo.
Kipindi icho nilikuwa natambaa so about mpira sikujua nao naenjoy. Kwenu imebaki historia. Sisi current juzi tulimkodishia leceister city wameirudisha kwa mwenyewe. Rahaaa sana kubeba ndoo la epl.
 
Suti imemkaa Pogba!

Screenshot_2017-05-19-09-24-56.png
 
Kipindi icho nilikuwa natambaa so about mpira sikujua nao naenjoy. Kwenu imebaki historia. Sisi current juzi tulimkodishia leceister city wameirudisha kwa mwenyewe. Rahaaa sana kubeba ndoo la epl.
'64 ulikua unatambaa? Shikamoo mzee
 
[HASHTAG]#HapaAjaxTu[/HASHTAG]. ..lazima mcheze Europa hakuna namna sasa ..mourinho msimu ujao hatupo naye UEFA, na hata akiingia hatafanya la maana. Mapema sana kwenye makundi atapitishwa hivi. Timu mbovu haina ushindani, timu imekuwa ya option sasa iv mnalazimisha kwenda uefa wakati wachezaji hawaja andaliwa kushiriki. Hahaha mtapotea tuu. Ngoja Ajax atamwonesha mou namna timu inavotakiwa icheze hahaha
 
Back
Top Bottom