Ulisema Zlatan ni mbovu kuliko Rooney awekwe benchi achezeshwe Rooney ndio tutashinda,Rooney anacheza siku hiziTuliwaambia mapema hapa kwamba hatuna timu ya kuingia top 4, mukatushambulia sijui una mentality ya arsenal, sijui umekata tamaa mapema, sasa munalialia nini? Tulieni nafasi yetu ni ya 6, msimu ujao tena
Sijakataa mkuu. Ila kumlaumu carrick ni kumuonea.Hakuna mapana yasiyo na ncha Manutd kushinda ubingwa EPL wengi itabidi waishie kuanzia Rooney, Carrick, Ashley Young, Jones, Smalling hata Martial na wale left back hati hati, Sijui Damian na mwenzie kiwango hakiridhishi
Angalia hela wanayolipwa kwa wiki na kiwango hakuna uhusiano
It is time to clean up the excess baggage!
Astaafu kwa heshima anazibia makinda ugali. Kumbuka Paul Scholes alivuta na kumzibia Paul Pogba na kuishia kununua ghali mno. Historia iko wazi astaafuSijakataa mkuu. Ila kumlaumu carrick ni kumuonea.