Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"Usidanganyike,nafasi ya 6 ni nafasi yetu ya kudumu" Manchester United 2017
cc radika RRONDO johnsonmgaya Transcend kisu cha ngariba
Msimu wetu wa EPL uliisha siku tuliyotoka sare na Swansea. Kuanzia siku ile mechi zilibaki mbili vs Celta na vs Ajax.
Mechi nyingine zote ni warm ups kwa ajili ya mechi hio. Tukishinda hio mechi tunapata kombe ambalo hatukuwahi kupata na nafasi ya kucheza ECL.....its a NO BRAINER!
 
Naona hali inaendelea kuwa mbaya hapa,inabidi tuelekeze macho na masikio yetu kwenye Europer league maana huku tumeshikwa kisawasawa hapana shaka.
 
Mkuu, I beg to differ, ofcoz tumekosa umakini flan mbele lakini Carrick huwezi kusema ni mzigo pamoja na umri kumtupa. Uwepo wake unaonekana.

Tukubali tu kuwa msimu huu tumekuwa na kikosi finyu sana na ndio maana majeruhi imetuathiri sana.
Carrick kama ndiyo dili basi ujue ubingwa next year ni majogoo. Midfielder lazima afunge au hata kutoa assist Carrick takwimu zake ni kimeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…