Kwa hiyo Manutd ana uhakika wa nafasi ya sita lakini anaweza kimahesabu kufika nafasi ya tatu ili mradi Arsenal, Liverpool, Mancity wapoteze mechi zilizosalia

Usichekelee sana kwani ndoo ya Europa haina utata kwa hiyo ni sawa na kumaliza ndani ya top four with ndoo
Kwahyo mkuu we una imani kabisa kwamba leo tutaondoka na point hata moja?Nionavyo ngoma ya leo ni droo
Spurs 2-2 Manutd
Hii mechi naenda kuangalia sababu naipenda Manchester, hatuwezi kushinda hii mechi tuwe wakweli tu.Kwa ufupi tuu tunatakiwa tuchukue Europa legue...
Be hopefully mkuu...Hii mechi naenda kuangalia sababu naipenda Manchester, hatuwezi kushinda hii mechi tuwe wakweli tu.
Jinsi tulivyoanza kwa kujirundika golini sioni mwelekeo kabisaKwahyo mkuu we una imani kabisa kwamba leo tutaondoka na point hata moja?
Tukishinda utaona tumeona mwezi au?To be honest today sitegemei chochote from us