Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
pogba kafiwa na baba yake mzazi,
pogba kafiwa na baba yake mzazi,
Nafikiri tupo pamoja mkuu, lukaku namuona kama mzito hivi.. Tunahitaji mshambuliaji mshapu kama AgueroLukaku sioni kama atafunga magoli 30 kwa musimu ili tuwe mabingwa EPL maybe I am wrong!
Ndoo ya Europa ndo habari ya mujiniHii nafasi ya 6 mlitambikia ama![]()