Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1494590891292.jpg
 
Yaani siku hizi kucheza OT ni khatari kuliko kucheza ugenini wageni wakija kwetu wanachangamka kama vile kwao. Kisha hiki kisirani cha kukosa clear chances kitaendelea kutugharimu mpaka lini? Wacha nimpongeze nyanda wetu kiukweli kalitendea haki sana kombe hili saves za maana ana stahili pongezi.
 
naona zile propaganda ambazo zilikuwa zinaikabili chelsea kuhusiana na kucheza soka la kujihami chini ya mourinho sasa zimehamia manchester united, ni kweli timu ina tatizo la umaliziaji ila mimi sifikirii kama mourinho hajalitambua tatizo hilo.
msimu huu chini ya mourinho naamini tumefanikiwa kurudisha ubora wa timu kwa 60%, naamini msimu ujao tutazicover 40% zilizobakia kwa kufanya usajili uliobora na kuruhusu baadhi ya wachezaji waondoke.
mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ya kwamba tutafungwa na Ajax chini ya mourinho kwenye final japokuwa atamuanzisha mwanawe mpendwa lingard.

damushin: Mourinho do you believe in miracle and taking risk?
Mourinho : yes of course that's why I play Fellaini.
damushin : fellaini 80% of Manchester United fans don't believe in you what's your say about this ?
Fellaini: well , if they could kill Jesus who was perfect , who am I? But I'm glad Mourinho loves me , he told me I'm better than Ronaldo.
damushin : Sir Alex what's your say about this game ?
Sir Alex: You know Rashford is good when he gets something out of even Fellaini.
18485645_1520031431352435_461369963397207929_n.jpg

ila kama una moyo wa plastic kuipenda manchester united chini ya mourinho's tactics ni balaa.

kutokana na hali ya timu yetu kuingia uwanjani bila ya eric bailly ni sawa na kuingia uwanjani bila ya jersey
 
Back
Top Bottom