Itakuwa ngumu Sana aisee.Fainali bila Bailly ni advantage kubwa sana kwa Ajax Amsterdam
Ila ajax amefuzuHabari njema ni Ajax kapigwa tatu moja. Ngome yao inafungika hilo litatusaidia sana
Rui fariaMou alikua amekumbatiana na nani pale baada ya final whistle?
hahahaTatizo la man u msimu huu ni kushindwa kukill off the game na mou naona kashindwa kabisa kurekebisha hili timu haina njaa ya mabao kabisa inacheza kwa kuridhika inabidi wabadilike aiseee hata kama wana goli inapaswa wacheze kama ndo wanataka kusawazisha