Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Manutd watinga fainali
Alikua anakumbatiana na mtoto wake,ni kipa wa timu ya watoto ya fulhamMou alikua amekumbatiana na nani pale baada ya final whistle?
Fainali bila Bailly ni advantage kubwa sana kwa Ajax AmsterdamAisee pressure ilikuwa juu sana baada ya red card ya Baily,any way hii Red card itatucost fainal,Rojo out,Baily out aisee.
Phill Jones aanze kupasha.
Saasawa mkuuAlikua anakumbatiana na mtoto wake,ni kipa wa timu ya watoto ya fulham
Akileta ndoo atasamehewa vinginevyo kiti moto atawekwaMentality ya mou ya ku defend inatu cost sana!mikhi ndo alikua anadrive mipira kupeleka mashambulizi ,alivotoka tu mbele kukafa