Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
itakiwa berba aingie ili kutuliza game
Bora wamemchomoa NANI
itakiwa berba aingie ili kutuliza game
asavali...hata sicheki game, ila karoho kanadunda nikisikia msg imeingia nahisi 'wanga' wameaanza.
Refa kaonesha haraka ya kumaliza mpira ha ha ha.
Haya watani hongereni wakuu kwa ubingwa.
Manda hupo? au umepoteza fahamu mkuu? lool