Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

...watani,

sitakuwepo hewani jioni ya leo,...
may I be the 1st to Congratulate you Guys!...

Barclays-Premier-League-t-001.jpg

...kwakuanzia na Man United 1stLady -BelindaJacob,...
Manda, Eqlypz, Belo, mfarisayo, RR, papizo, mahesabu et al...!

Well done and Goodluck buddies...

Thanx mkuu pamoja mpaka sasa tupo down kwa goli moja na tunahitaji point 1 tu basi....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kipa hakuwa na sababu kabisa ya kwenda kucheza rafu mpira ulikuwa mzuri watu wanatolea jasho point moja ya ubingwa yeye kaenda kugawa goli.
 
Kipa hakuwa na sababu kabisa ya kwenda kucheza rafu mpira ulikuwa mzuri watu wanatolea jasho point moja ya ubingwa yeye kaenda kugawa goli.

Hahaha mkuu pressure sio mchezo ndio maana kajichanganya sasa....ila sio mbaya sana.......
 
Valencia anapiga defence duu lakini anacheza vizuri......
 
asavali...hata sicheki game, ila karoho kanadunda nikisikia msg imeingia nahisi 'wanga' wameaanza.
 
Back
Top Bottom