Mkuu Narudia Tena Kuwa Mpira Sio Mipasho!!! Jaribu kuonesha Uwezo Wako Katika uchambuzi Wa Soka sio Mipasho na Majungu! Au ni Muimbaji wa Taarabu Wewe?
Yani Hujawahi Kuposti jambo Lenye Mchango Wowote Katika Soka Bali ni Mipasho tu.....
hivi we jamaa una shida gani na mimi wewe? usinitafutie balaa asubuhi yote hii, umesahau mlivokua mmeanza ligi mlivokua mnaidisi Manchester nyie? umesahau jina mnalotuita la manure? kinachokuuma we ni nini?
lete maada itajadiliwa but lemee told you i will never ever stop trolling you kama vipi ni report kwa mod
sasa mkuu unataka niwazungumzie leeds utd au? maana kama ni chelsea walaa sihangaiki nao mashabiki wenyewe waliopo bongo hata tukiwaingiza kwenye school bus hawataenea.