Zlatan napenda abakishwe ila awe anacheza baahi ya mechi na wakati mwingine kama super sub....
Kama Sir Fergie alivyokuwa anawatumia kina Teddy Sherigham na Henrik Lasson ili kupata matokeo
Asiwe mchezaji tegemezi .....Hao wengine tunaweza kuwapa mkono wa kwaheri na wapongezi kwa kuwa watumishi wazuri wakati wakiwa Manchester United.

ikitokea tumechukua ueropa, hata tukiwa wa sita, tutakua tumechukua makombe mawili na kucheza uefa bila play off, huku liverpool na arsenal wakifurahia kumaliza juu ya Manchester.
Ukweli lazima usemwe hata kama utauma bado tuna wajibu wa kusema.Mechi yetu na Arsenal Mwl alikosea mikakati ya ushindi tangu mwanzo.Lawama zote za kufungwa Jose lazima abebeshwe.