Goli la pili kosa la kwanza amefanya Darmian kumruhusu Chambo kupiga krosi then Smalling ndio CB ndio alipaswa kuokoa ule mpira,Tuanzabe kacheza RB.Waliofanya makosa ni Darmian na Smalling.Tuanzebe amefanikiwa kuwazuia Sanchez na GibbsKucheza vyema ni kuzuia mabao. Welbeck kapiga free header on his watch. Kama Jones hakukaba mtu ila alidanganywa na mpira. Juventus huwezi kuwafunga free header. Tuanzebe alikuwa amsukume tu asingefunga
asante aiseeee, kesho kuna kajamaa kataniboa tu kazini ila sina namna.Ulale unono na njozi njema.
Sahihi kabisa lakini ni adhabu ambayo yeye ndio msababishaji wa Makosa,Martial sio mzuri kubaki peke yake mbele kama mshambuliaji wa MwishoNadhan maurino ataendelea kumchukia Martial na huenda hata kumuuza
Umri umeshasogea kaka,hatutakiwi kumlaumu,Mwili umeshachoka,EPL ngumu sana,amejitahidi kwa kiwango chake kwa uwezo wakeRooney nadhan atakuwa kashakubali kwamba hawezi kurudia kiwango chake tena
asante aiseeee, kesho kuna kajamaa kataniboa tu kazini ila sina namna.
Mungu ajaalie tuchukue kombe uko.Mourhnio anaonekana ana matumaini makubwa ya kubeba Europa sijui jinsi Ajax wanavyojituma
ubaya nami uwa namfanyiaga fujo akifungwa kwahiyo lazma anilipizie.Mnunie tu au mwambie hujisikii vizuri ataacha usumbufu wake.
Risk analysis sio nzuri sana aisee,hii kamari aliyoicheza leo Mou itamsumbua katika historia ya maisha yake katika soka.Kipindi cha pili tumechenza ovyo sana aise ,ila sikujua plan ya Jose Leo simulaumu huenda kwa sababu ya game ya alhamis ,
Sasa ole wako ufanye blander jikoni aisee;chumvi iongezeke kidogo,hasira zote zitaishia kwako aaaah aaaah aaaah aaaaah, Asernal leo wamenikosesha furaha,usiku utakuwa Mbaya kwangukama namuona mme wangu atakavorudi kavimba
yani nmefurahi
Vinginevyo kufungwa leo kutasumbua sanaMungu ajaalie tuchukue kombe uko.
Hapa namuelewa sana,yeah jamaa waliwaacha wachezaji wao wa 1st eleven kama game tatu hivi nje ili waje kucheza na United,Not bad tuna goli moja mbele afu ugenini,Old T tunamaliza shughuli tuisubiri ajax fainal.Asema khofu yake ni mechi ya Alhamisi na Celta de Vigo wamepumzisha wachezaji wao kwa kipindi kirefu