Duh, mkuu man city na chelsea zipi ambazo hatujacheza nazo? Au siku hizi timu hua zinarejeana mara tatu?Hesabu za Mou katika hizi game za Mwisho zinaiweka man U katika nafasi ngumu ya kuingia top 4,tunatakiwa kucheza fainal ya Championship huku tukitakiwa kuingia top 4,afu hapo hapo tunakiwa kucheza na Man City,Chelsea,Asernal.
Hadi sasa tupo katika nafasi Salama.
Mkuu lingard nae ana kipaji?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapana bado tunawahitaji ni vijana Wenye vipaji na ari ya kujituma,nadhani ni muda wa kuwalea,dunia sasa haina wachezaji so tunatakiwa kuwaandaa
Kuna wachezaji wengi sana wanatakiwa waondoke ila ndio hivo, lingard hata mwezi haujaisha toka kaongeza mkataba.Martial Na Lingard Ndo Mwisho Wao Hawana Sifa Zakuchezea Manchester United
Kufanikiwa kwenye soka hakuitaji kipaji peke yake,Ravel Morrison alikuwa ndio mchezaji mwenye kipaji kuliko wote kwenye academy lakini hakuna alichofanya hadi sasa.Mkuu lingard nae ana kipaji?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hujajibu swali, swali ni "lingard nae ana kipaji cha soka?" Huko shule mlienda kusomea ujinga?Kufanikiwa kwenye soka hakuitaji kipaji peke yake,Ravel Morrison alikuwa ndio mchezaji mwenye kipaji kuliko wote kwenye academy lakini hakuna alichofanya hadi sasa.
Lingard ana kipaji cha kucheza sokaHujajibu swali, swali ni "lingard nae ana kipaji cha soka?" Huko shule mlienda kusomea ujinga?
Cc: Faiza Fox
Binafsi nakubali ana kipaji,ni mchezaji mzuri ndio mana nasema tuendelee kumlea.Hujajibu swali, swali ni "lingard nae ana kipaji cha soka?" Huko shule mlienda kusomea ujinga?
Cc: Faiza Fox
Nop upo sahihi,may kuna utofauti wa nyakati,hizo timu tumecheza nazo ila nilitaka kuonyesha hesabu za Mou,kikosi na michezo tuliyonayo katika hizi game za mwisho wa ligi,baada ya Man U kuingia robo fainal.Mkuu hapa nimesoma vibaya ama?
Aaaah aaaah aaaah aaaaahHata mim nimeogopa kidogo nilivyoona kazitaja hizo timu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Swali hili,kama ni swali yeah Rashford ana kipaji piaLingard ana kipaji cha kucheza soka
Mkuu nipe site ya kuchek kwa streaming thru laptop sio simuWa kurushwa na Manutd karibu kabisa na kibendera cha Celta De Vigo
http://fïrstrowsports.eu/Wakuu naombeni site ya kuchek game kwa streaming niliyokuwa natumia naona inazingua mie nilikuwa natumia goatd.net
www.yalla-shoot.comWakuu naombeni site ya kuchek game kwa streaming niliyokuwa natumia naona inazingua mie nilikuwa natumia goatd.net
Hilo lilikua liwe jibu, hata hivo hayo ni maoni yako, mimi sijaona kipaji chake zaidi ya kukimbiakimbia tu uwanjaniLingard ana kipaji cha kucheza soka
Sio Maoni yangu tu hata makocha kina LVG,Butt,Southgate na MourinhoHilo lilikua liwe jibu, hata hivo hayo ni maoni yako, mimi sijaona kipaji chake zaidi ya kukimbiakimbia tu uwanjani